Kuku wangu

Nimeyapata hapa

Hayo ni maneno yako. Ni kana kwamba unatushangaa na unatuuliza kama tumegeuza "hili jukwaa la mapishi". Hilo swali lako linaashiria hapa kwenye mapenzi, mahusiano, na urafiki hatutakiwi kuongelea mambo ya butter chicken.

Unaumwa nini?

Kana kwamba sio uhakika!!

Nwy naumwa mwili!!
 
Chochote kwenye menu
( chaguo la mteja )..

Can I get a 20 oz. classic rib eye steak with steamed broccoli and loaded mashed potatoes? I want the steak medium well. I want
Patron pomegranate margarita for a drink and don't forget to bring Heinz steak sauce also. Thanks.
 
ki kuku cha mama rhoda kime kula mpunga wangu nikitaka kukifukuza.......... ndo nn unapotupeleka?????????
 
Ulipata festi klasi ya UDSM wewe? Tunatafuta mawakili waliopata festi klasi ya UDSM na waliofundishwa na Dkt. Majamba na yule Prof. Palamagamba (sijui nimelipatia jina lake?).

Kama una festi klasi ya UDSM nitumie PM.

Ninayo ya Online mkuu.
 
Kosa ni lako wewe mwenye Kuku....kwann usimfungie kwenye banda unamuacha anazurura hovyo? kuku hana kosa maana hana anaemjali anajitafutia chakula hivyo ilimlazimu kula mtama kwa jirani..kwako hana kitu cha kula...kuku hana uangalizi, hatunzwi..unategemea nin broda...tena usipokuwa makini jirani atamfanya kitoweo muda wowote. hahahahaha
 
Usijisifu eti una mbio, msifu na anayekukimbiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom