Kuku wangu

Unapenda supu ya kuku wewe? <br />
<br />
Na unapenda sehemu gani ya kuku? Chicken breast? thighs? backs? gizzards? liver? hearts? neck(s)? drums? wings? wingettes? feet?

Yap
Supu muhimu sana naamini ni dawa
+ vitamins ...

Uzuri wa kumla kuku usichague..
Anza na mguu malizia na kichwa..

Kujibu swali lako.. sehemu zote za kuku
Ni tamu na nazipenda... ntam nyoyoa tu
Basii...
 
Yap
Supu muhimu sana naamini ni dawa
+ vitamins ...

Uzuri wa kumla kuku usichague..
Anza na mguu malizia na kichwa..

Kujibu swali lako.. sehemu zote za kuku
Ni tamu na nazipenda... ntam nyoyoa tu
Basii...

Unapenda apikweje? akaangwe? achemshwe? wa mchuzi? wa kubanikwa? wa kuchomwa?
 
Hapa ulikuwa unamuuliza nani sasa?

Nyie nanyi....sasa mmegeuza hili jukwaa la mapishi?!

Wapi nimesema sio yako au siyo ruksa?!

Mimi nimesema thread ni yangu. Sijasema wewe umesema si yangu au siyo rukhsa. Mimi ndiyo nimesema. Sasa wewe unaniuliza wapi wewe umesema kama vile mimi nimesema wewe umesema. Wee vipi wewe? Unaumwa?
 
Hapa ulikuwa unamuuliza nani sasa?

Mimi nimesema thread ni yangu. Sijasema wewe umesema si yangu au siyo rukhsa. Mimi ndiyo nimesema. Sasa wewe unaniuliza wapi wewe umesema kama vile mimi nimesema wewe umesema. Wee vipi wewe? Unaumwa?

Sasa kama mimi sikisema SIO yako hayo mawazo ya kunieleza kwamba ni yako ulipata wapi?!

Kujibu swali lako....NDIO NAUMWA!!!
 
Sasa kama mimi sikisema SIO yako hayo mawazo ya kunieleza kwamba ni yako ulipata wapi?!

Nimeyapata hapa

Nyie nanyi....sasa mmegeuza hili jukwaa la mapishi?!

Hayo ni maneno yako. Ni kana kwamba unatushangaa na unatuuliza kama tumegeuza "hili jukwaa la mapishi". Hilo swali lako linaashiria hapa kwenye mapenzi, mahusiano, na urafiki hatutakiwi kuongelea mambo ya butter chicken.

Kujibu swali lako....NDIO NAUMWA!!!

Unaumwa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom