Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,212
- 113,503
Jamani eeh naombeni msaada. Kuku wangu kala mtama wa jirani sasa jirani kaja juu. Anataka anipeleke mahakamani. Msaada jamani.
Mwambie ampeleke kuku mahakamani.
Masihara sasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mle nyama ili asikusumbue
Nyani unamaanisha kuku yupi bwana?
Mfungie kwenye banda lake asizurure hovyo.
Nyani unamaanisha kuku yupi bwana?
Wewe unapenda kufungiwa?
Sorry didnt get you!! kumbe binadamu, mgae tu huyo jirani huyo binadamu iliache kuiba.
Hapa kuna kafumbo Nyani Ngabu ametuficha,tufafanuli mzeeNyani unamaanisha kuku yupi bwana?
Hapa kuna kafumbo Nyani Ngabu ametuficha,tufafanuli mzee
Unapenda kuku wewe?
Sikuwezi, be blessed.