BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
- Thread starter
- #21
thank you sana
karibu. . . .
thank you sana
King'asti asante kwa pishi la bata, labda nikipata mgeni mla bata nitamwandalia, mie bata noooooo....
Ila ya kujaza wali nimeipenda, ipo siku nitajaribu kwenye kuku.... Ila kwanza nitaanza na kujaza wali kwenye hoho.... Nikifuzu nitahamia kwenye kuku....
Lol. Bata mie najua wa kuoka tu na anakuwa stuffed japo mie sipendi kula.
Unampaka bata mzima mafuta na viungo vyote kama chumvi, swaumu, binzari, tangawizi na ndimu. Unaweza kumlaza kwenue friji ama akae masaa kadhaa akikolea viungo.
Stuffing ni kumjaza tumboni, unaweza kuweka wali (njia bomba ya kula kiporo kwa furaha zote,lol) uliochanganywa na viazi, njegere, vitunguu na bread crumbs.
Oka kwa lisaa limoja ama endelea kuangalia abadilike rangi. Muhimu uchanje kuangalia kama bado ana damu manake.kama bata ana umri sawa na wewe ni kasheshe.
kazi kwenu walaji
Na waonjaji tufanyeje?
waonjaji nao wapo kweny kundi la walaji.....
Young Master unaweza kuniwekea recipe ya wali wa prawns? Yaani prawns wanapikwa kwenye wali..... Nilikula mahala natamani nijue walipikaje
ha ha haaaa!!! angalia usije ukaishia kuhari....
kwikwikwi kweli kabisa....jaribu jaribu mbaya....karibu leo natengeneza dengu.....za kunde bites za kula keshoooooo