kuku huyu...!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931

Kuku wa Man City.

Kichapo cha Bao 6 kwa 1 walichopata Man United, kimewafanya mashabiki wa Man U Duniani wahahe kutafuta kila kisingizio cha kichapo hicho. Kuku huyu mashabiki wamedai alikuwepo kwenye Benchi la washabiki wa Man City maeneo ya Manzese kwa mfuga mbwa. alileta tafrani ya aina yake maeneo hayo, mpaka wana usalama walipofika na kuituliza tafrani hiyo.

KAPINGAZ
 
Hivi hiki kipigo kitasahaulika kweli yani tagu siku ile haipiti siku lzm either nisome mahali au nukute watu wanaongelea basi jaman inatosha!
 
Hivi hiki kipigo kitasahaulika kweli yani tagu siku ile haipiti siku lzm either nisome mahali au nukute watu wanaongelea basi jaman inatosha!

Unajua kwa nini wanalonga sana?? Hahahahaaaa! Wanaujua vizuri mziki wa man u, na wengine wanatumia reference ya man city kujifariji huku kimoyo moyo wanaomba wasikutane na babu fergie!!
 
Unajua kwa nini wanalonga sana?? Hahahahaaaa! Wanaujua vizuri mziki wa man u, na wengine wanatumia reference ya man city kujifariji huku kimoyo moyo wanaomba wasikutane na babu fergie!!
Umeoneee!ole wao siku yao ikifika watatafutana!
 
Bagamoyo hapo

WorldCup-Chickens.jpg
 
Back
Top Bottom