kuku bei chee wa ukweli

estlovie

Member
Jan 2, 2012
18
2
za leo wana JF ,nawatakia friday njema....kuna kuku wanapatikana kwa bei ya shl 11,000,.wale wa kienyeji ila wanafungwa ndani kwa atakaetaka anipigie kwa no 0716 474435...ukitaka wanyonyolewe charge itaongezeka 500,karibu mwana JF upate mlo fresh na wa uhakika....,
 
unapatikana wapi toa mawasiliano ya uhakika, pia uzito wa kuku kiasi gani

Alitakiwa aseme yuko wapi, na kama ana mahali nje ya shamba lake anakoweza kutuelekeza ili tukafuate huko. Be careful, kuleta wateja shambani kiholela kunaweza kukuletea vibaka.
 
unapatikana wapi toa mawasiliano ya uhakika, pia uzito wa kuku kiasi gani
Swali la msingi, wengine tuko Sudan ya Kusini huku afu waweza kuta mtoa mada yuko Msumbiji.:nono: Afu hiyo avatar yako na location yako.... ngoja nikuPM
 
Back
Top Bottom