Eshacky
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 965
- 244
Ndugu wa Jf, wiki iliyopita nimeenda kuchukua result slip yangu ya form 6 shuleni tambaza,baada ya kutolewa ili niendelee na process za kuomba chuo. Cha ajabu nimekuta hakuna heruf ya kat mfano. Eshack "d" Msamvu. Je taratibu na kufuatiria kwa marekebisho zipoje, na vip haziwez kunichelewesha hizi process za chuo. Naomba msaada wa maelekezo yenu kaka na dada zangu wenye kujua..
Nawasilisha.
Nawasilisha.