Kukosa ustaarabu!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Tena huyo wa kwanza kushoto kavaa rangi ya Barcelona!
545605_10151022114958792_203816643_n.jpg
 
Yaani ngo'mbe kama hizi hazitakiwi mjini kabisa.Tutaendelea kuu gua saa kwa kuendkeza ujinga huu!
 
Hell no!! Tell me this is not true!!! Unaweza ukatueleza hii kitu inatokea wapi?
 
Baada ya kumaliza shughuli inaonekana watavaa hivyo hivyo bila ya kujisafisha.Chezea usela mavi wewe
 
Wananukishiana yaani hadi hilo lingine limeziba pua aisee, kweli TZ tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele!
 
Haya ndo maisha bora kwa kila Mbongo. Penye umaskini wa kupindukia kote duniani hakuna ustaarabu, Ustaarabu pale palipo na matumaini na si walipo kata tamaa kama Hao vijana may be hata mia 200 za kulipia choo hawana,
 
Mi mtazamo wangu ni kwamba vijana hawa hawajaandaliwa mazingira ya ustaarabu kwa hiyo hawawezi kuwa wastaarabu kamwe. Mojawapo ya huduma za jamii ambazo serikali yetu imezipuuzia ni pamoja na maliwato, ambayo mi nilipokuwa naanza kupata akili miaka ya 80 mwanzoni kulikuwa na vyoo vya serikali karibia kila mahali ambavyo watu walivitumia bila malipo na vilikuwa na huduma zote za msingi km maji na sabuni. Leo hii, vile vyoo vyote vya serikali vimebinafsishwa, na wawekezaji hao wameachiwa uhuru wa kutoza kiwango cha pesa watakazo, cjawahi kusikia EWURA wakidhibiti bei ya kujisaidia kwny maliwato ya umma! Tutafakari! :A S thumbs_down:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom