Kukopi na kupesti

lakini kwa nini ucopy tena wakati document ni ya siri..na wewe ndo ushaipata tena..sasa unacopy nini..si uitumie yote kabisa!! sana sana utasave copy kwa matumizi ya baadae..yaani mi nijuavyo ku protect kitu kwa kulock tu sio suluhisho sikuhizi..swala ni kuhakikisha hiyo doc haitui kwenye mikono ya asiyetakiwa...hiyo ndo protection!!sasa utafanyaje hapo ni juu yako..ila kulock mtu asicopy..!!? kama naitaka yote nikiipata naifyatua kama ilivyo..na kama nataka sehem ndogo tu ndo kama walivyosema wadau hapo juu...na type tu!!
 
lakini kwa nini ucopy tena wakati document ni ya siri..na wewe ndo ushaipata tena..sasa unacopy nini..si uitumie yote kabisa!! sana sana utasave copy kwa matumizi ya baadae..yaani mi nijuavyo ku protect kitu kwa kulock tu sio suluhisho sikuhizi..swala ni kuhakikisha hiyo doc haitui kwenye mikono ya asiyetakiwa...hiyo ndo protection!!sasa utafanyaje hapo ni juu yako..ila kulock mtu asicopy..!!? kama naitaka yote nikiipata naifyatua kama ilivyo..na kama nataka sehem ndogo tu ndo kama walivyosema wadau hapo juu...na type tu then image nacopy kama zilivyo hata kwa kufanya print screen then na edit..kushney!!
 
Mimi PDF yoyote naipeleka word ki ulaini hata kama ina picha vyote vinabadilika then unaedit unavyota then unarudisha pdf
 
Hii ndio jamii forums bana. Hakuna kinachoshindikana. Wakati natupia huu uzi nilifaham tu lazima ufumbuzi utapatikana.
Sasa nimepata kufaham kuwa kumbe kuna software special kwa ajili ya ishu hii.
For sure jf is the home of great thinkers. Salute kwenu nyote. Lakini pia kikao bado
Kinaendea, mjadala haujafungwa bado na kamwe hautafungwa.
 
Back
Top Bottom