Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,958
- 13,588
Ndg wana JF, salaam, naomba kukopa ni umaskini? Kwa mfano, tunaambiwa mataifa lenye uchumi mkubwa,ni marekani, ujerumani,japan nk. Vp mbona yana madeni kwenye taasisi za fedha? Kama WB, IMF nk? Uchumi wa haya mataifa unakuwa kwenye nini,..inakuwaje mataifa haya uchumi wao ukidorora mataifa yanayokuwa kiuchumi nayo yatikisike? Mwenye uelewa na mambo haya ya kiuchumi anifafanulie hapa. Ahsanteni!