kukodisha Restaurant dar

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
307
316
wanajamii nimenunua machine za restaurant kwa $ 10 000 na custom nimelipai kama 3m
nia yangu ni kukodisha kwa malipo ya kila mwezi ,
dhamana ya machine inaitajika kama ni nyumba au pesa
je kuna mawazo yoyote kutoka kwa wanajamii
 
Ndugu mm nina sehemu nataka nifungue restaurant ssa its good kama rukikutana, nione hivyo vitu mkubwa my no 0655 747445
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom