kukodi mjengo

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine.

Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi naweza kwenda kukodi niweke kaofisi changu?
 
wale walio kodishwa kwenye jengo la zain walituuliza sisi?!, kwani mmiliki wake humjui? Waulize madalali wa kariakoo na magomeni chumba utapata fasta.
 
Back
Top Bottom