Ndugu wana jamvi kuna tetesi kwamba serikali inashinikiza umeme ukatwe maeneo mengi wakati huu wa kuwasilisha na kuijadili bujeti ya wanamagamba. Sina uhakika, je ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.