Kukithiri kwa rushwa tz.

kayege

New Member
Aug 1, 2012
3
0
ndg watanzania wenzangu hii rushwa ivi chanzo chake hasa nn?Sasa imeanza kuingia hadi kwenye chama ninachokipenda nadhani wote mnakijua ambacho kimeibua mambo mengi sana wengi wetu tulikuwa hatuyajui nikianza na swala la "RICHMOND","EPA"sasa hapa napata kigugumizi tena ninaposikia kuna mh.flani huko mjengoni alifoka sana nanukuu"kuna wabunge wengine humu ndani walikuwa wakipinga swala la posho kumbe wao walijua wanategemea posho zao zitapatikana wap?"Hapa naona nina aliyekuwa akilegwa na usemi huu.
 
Back
Top Bottom