Kukiss denda inaamasisha kufanya mapenzi

Hoja kama hizi pelekeni facebook jamani maana mnashusha credibility ya JF. Kule facebook utakuta watu wako uchi kabisaa na ukiidondosha tu hii utapata wachangiaji wengi sana.

kaka jukwaa la mahusiano mapenzi na urafiki ...! thread kuhusu kissing ndio mahala apke!!

acha tujifunze bana tuondoke na ushamba!
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Mdomo umeumbwa maalumu kwa kuongea, kula chakula, kunywa maji au kutemea mate na makohozi pale unapokuwa unaumwa kikohozi. Haya matumizi mengine siyo matumizi rasmi na hayana tofauti na wanaotumia sehemu ya kutoa kinyesi kwa mambo yale mengine.
 
Mmmmmhh
 
Duh! Kuna wakati unamtokea dem muda mrefu halafu unaishia kumsindikiza tu. Sasa siku ukipata denda hata kama ni la mia tu, unajisikia kama ndio umemaliza! Hapo ndipo ulipopata utata.
 
<br />
<br />
kwanza unashindwa kutofautisha KINYWA NA MDOMO,lakin pia kwa mujibu wa maelezo yako,umekalili matumizi ya hicho ulichokizungumza
 
kiss haina mpango,
nashangaa katika foreplay watu wanakazaaaaaaaaaaana kulana madenda....wakati kny ulimi hakuna nerve endings zenye kuleta ashki ya mapenzi...so basically tunapeanaga uchafu tu.....
 
hujapata wa kukunyonya vizuri au umekutana na vinywa vichafu wasionukia!f.y.i extra saliva that is echanged wakati wa denda reduces decay of teeth by keepin ur teeth clean na ashki huja kwakuwa mkinyonyana huku mikono inatoa support na si kama denda la njiwa la midomo tu kuirefusha
 
sawa ww umepata wa kunyonyana denda,kwan unafikili na yy hana?anae bt c unaelewa kujifanya hajui?
 
kiss haina mpango,
nashangaa katika foreplay watu wanakazaaaaaaaaaaana kulana madenda....wakati kny ulimi hakuna nerve endings zenye kuleta ashki ya mapenzi...so basically tunapeanaga uchafu tu.....
inamaana ww huwa mnatayarishana vp na mpz wako?
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Nadhani kukiss sio utamaduni wa wabongo ila the opposite ndio utamaduni wa wabongo na kuna watu wapo kwenye ndoa miaka 40 hawajawahi kulana hayo madenda................ correct me if I am wrong.
 
<br />
<br />
kwanza unashindwa kutofautisha KINYWA NA MDOMO,lakin pia kwa mujibu wa maelezo yako,umekalili matumizi ya hicho ulichokizungumza
hapana cjakalili bt cc wenyewe tumeiga,sawa matumizi yake yanajulikana,bt mbona hapohapo mdomo huo huo unatumia kumnyonya mpz wako(uchi)or mpz wako kula koni?
 
Nadhani kukiss sio utamaduni wa wabongo ila the opposite ndio utamaduni wa wabongo na kuna watu wapo kwenye ndoa miaka 40 hawajawahi kulana hayo madenda................ correct me if I am wrong.
upo sawa tunakopy.
 
Duh! Kuna wakati unamtokea dem muda mrefu halafu unaishia kumsindikiza tu. Sasa siku ukipata denda hata kama ni la mia tu, unajisikia kama ndio umemaliza! Hapo ndipo ulipopata utata.
ni kweli kabisa watu wengi wakianza huusiano lazima watakiss na kujipa moyo kuwa ndio wameanza huusiano.upo sawa kabisa.
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Unazungumzia kissi kikavu au owevu ?
 
Back
Top Bottom