Kukiss denda inaamasisha kufanya mapenzi

watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Ina maana wewe sio mbongo so unajiondoa kweney hilo kundi
 
mbona mi naweza??? Mpenzi wangu bebii huwa hapendi mwanaume wa kungonoka.
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

inaelekea una kauzoefu....hebu fafanua wabongo linaloshindikana ni lipi...................................lakini nitoe angalizo la awali hivi malengo ya kubusiana ni yepi.........................................au ni busu heading to nowhere...............................better not start the fire if you can not handle sleeping in the kitchen............
 
Sasa kwanza ume like halafu unampinga tena kulikoni?!
 
22 kuna aina nyingi za kissing, ni ipi unatorelate maana kissing mmmh!
 
Twenty 2... with your sweet naive words/topics... and sexy Avatar plus topics...
You make me wonder.... Dah! But one thing is for sure... you always make me smile.

Ingawa kwa kweli third base ina raha yake... and kama kuna nafasi ya kwenda huko
yaani mazingira yanaruhusu... yanini kujipa pressure; For kissing kwa malengo tu
ya kufurahia... hua inafanywa mazingara ambayo sex ni kazi kufanyika...

Enjoy dear... and oh! Kissing with the right guy... you go places without third base.
 
Kama ni kiss kiss za kawaida tu hapo sawa, lakini denda......? Denda kabisa denda...,.? Liishe ivi ivi....mmh! Labda!!
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Inawezekana kila mtu amekuwa 'waired' tofauti...lakini nimeona wengi hiyo french kissing inaendana na 'sehemu nyingine' pia ku respond ('zinalowa'). Labda 'wabongo' wapo tofauti na hao wengine.
 
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Hoja kama hizi pelekeni facebook jamani maana mnashusha credibility ya JF. Kule facebook utakuta watu wako uchi kabisaa na ukiidondosha tu hii utapata wachangiaji wengi sana.
 
][/B]Hoja kama hizi pelekeni facebook jamani maana mnashusha credibility ya JF. Kule facebook utakuta watu wako uchi kabisaa na ukiidondosha tu hii utapata wachangiaji wengi sana.

Acha kutupangia sehemu za kujadlia.
 
Hoja kama hizi pelekeni facebook jamani maana mnashusha credibility ya JF. Kule facebook utakuta watu wako uchi kabisaa na ukiidondosha tu hii utapata wachangiaji wengi sana.

bab vipi nimetoka facebook kufuata mambo kama haya halafu wewe unataka kuyapeperusha nipishane nayo siyo fresh bab!kama unaona siyo jitie jukwaa la siasa kaumize kichwa watu mapenzi ndo yanafanya tushine mjini.......
 
Back
Top Bottom