Kukiri kungonoka

napata wasi wasi anaweza pigwa kibuti ...
Nilimuona kaka mmoja alihisi wife wake anacheat ..na akaja-confirm ni kweli.
Kila siku akimuuliza wife anakataa kabisa na hakuwa na evidence zaidi ya kumfanya amhukumu moja kwa moja.
wakakaa mwaka wa kwanza wa pili wa tatu kila siku anambembeleza amwambie kama kweli ali-cheat
Siku moja kamwamsha usiku wa manane na kumpa maneno matamu sana huku akimbembeleza amwambia kama ni kweli ali-cheat kwa jinsi mwanaume alivyokuwa anaongea kwa huruma na machozi na kumuhakikishia hata akimwambia ukweli ndoa yao iko pale pale .na nadhani huyo kaka aliamini mkewe akimwambia ukweli atakuwa mvumilivu wa kukabili jambo hilo
Maskini Bi dada akasema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu sitarudia
Kumbe husband anamrecord na kawa anarudia kila siku kusikiliza hiyo saut ya mkewe akisema yes dear husband nilicheat bila kukusudia nisamehe mme wangu huo ndo ulikuwa mwisho wa ndoa yao..
awww what a harsh punishment !! he actually wanted total confession for something that had occured in the past, we should learn to let bygones be bygones and i guess this man was just looking for an evidence to rid himself of that cheating wife, who might have cheated only once, yes it had costed her marriage but also it had given this man anguish for all those years that he was looking just for that evidence, i suppose people should just let go...it happens jamani, once someone anakiri kama kweli una kifua songeni mbele na maisha yenu, ubinadamu kaazi kwelikweli
 
Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani

Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.

Evidence first... Apology later
 
Kataa Mpaka Kifo kitakapowatenganisha!

hana ushaidi wala nini! Kataa Kataa Kataa

mwache abaki na hisia tu - Life is not FAIR!
 
Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.
Kaka usithubutu kukiri itakula kwako
 
Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika kipindi chote hicho huyo mpenzi wangu alikuwa akichunguza mienendo na mawasiliano kati yangu na huyo mdada . Jana kaja anadai eti kuna mdada anaamini kabisa ya kwamba nimetembea naye na jina lake akalitaja kwani lilikuwa kwenye simu akiniomba nikubali kosa kisha niombe msamaha kwake ili tuanze UPYA vilevile tuendelee na mipango yetu ya NDOA hapo mwezi wa saba(7) mwakani

Ndugu zangu, Je ni HAKI kwangu kukiri kosa na kuomba msamaha vilevile haitosababisha mapenzi yetu kufa.

Hata ningekuwa mie......ningekushauri unidanganye kuwa ni imani tu na si kweli..........huwezitamani mwanamke mwingine zaidi yangu............ mie tu ndo mwenye kukamilisha maisha yako, mie tu ndo mwenye kijungu safi.........mie tu ndo nnayekupa furaha..mie tu.mie tu ndo kila kitu.........Ntaiasi imani yangu na kukufuata wewe kama tulivyoambiwa na vitabu vitukufu .......... uendapo nami nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu,,,, MUNGU wako atakuwa ndiye MUNGU wangu............maisha yanaendelea

Hiki kitu cha Malawi....................daaaah
 
FL wanaume ni tofauti sana kwenye ishu ya kusamehe anapojua ume cheat, cc huwa tunajua tunapata uhakika na tunasamehe, cjawahi kuona mwanaume ameweza msamehe mke wake kwenye ishu ya ku cheat kirahic, lakini cc wanawake pamoja na mie pia nilishasamehe mr aliponi cheat, kuna tofauti kubwa sana ya kusamehe kwa mwanaume na mwanamke kweye hii ishu, huyu mdada angekuwa ngugu/frnd wangu ningemuuliza kama bado anaipenda ndoa yake na angeniambia ndio bac ningemshauri hata afanywaje na mume wake ackubali ukweli, ni ngumu sana kwa wanaume.

:bump:Mie ndo mana sijaona mwingine zaidi yako humu ................ labda MW1 tu ........... :focus: ............ nyamayao najua umesamee
lakini hiyo shida tunayopata maana kitu kidogo tu unakumbushia ...............marta sijui unipitie juu hahah
hii kitu inaumiza sana na huyu jamaa akikubali tu kaula ..........imenikumbusha ule wimbo wa shaggy ISN'T ME msikilize hapa
YouTube - "It Wasn't Me" by Shaggy (feat. Ricardo Ducent) :smile-big:
 
Hata ningekuwa mie......ningekushauri unidanganye kuwa ni imani tu na si kweli..........huwezitamani mwanamke mwingine zaidi yangu............ mie tu ndo mwenye kukamilisha maisha yako, mie tu ndo mwenye kijungu safi.........mie tu ndo nnayekupa furaha..mie tu.mie tu ndo kila kitu.........Ntaiasi imani yangu na kukufuata wewe kama tulivyoambiwa na vitabu vitukufu .......... uendapo nami nitakwenda, utakapoishi nami pia nitaishi, watu wako wewe watakuwa watu wangu,,,, MUNGU wako atakuwa ndiye MUNGU wangu............maisha yanaendelea

Hiki kitu cha Malawi....................daaaah

Swadakta ............. umenena MJ1 ............:cool2: navaa na mawani kabisa wasinitamani ............. just for U .........:smile:
 
awww what a harsh punishment !! he actually wanted total confession for something that had occured in the past, we should learn to let bygones be bygones and i guess this man was just looking for an evidence to rid himself of that cheating wife, who might have cheated only once, yes it had costed her marriage but also it had given this man anguish for all those years that he was looking just for that evidence, i suppose people should just let go...it happens jamani, once someone anakiri kama kweli una kifua songeni mbele na maisha yenu, ubinadamu kaazi kwelikweli

Nsiande....... si unajua mchovyia asali hachovyi mara moja lakini ....... kuna mdada katoka nje sasa anawauzi wenzie ati afanyeje ili babaK amfanyie alioyakuta huko nje .................... sasa hapo kuna kuchovya mara moja :nono: aliyoyakuta huko njee
 
Usirogwe kusema kwa mwanamke eti umecheat unajichimbia kaburi. Wanawake hawana koromeo na ndio maana huwa waropokaji sana. donge utakalo mpa atakuja kuktapikia ukiwa umenogewa na chakula na utajutia maisha. Nitafute nikupe somo la maana wanawake si watu wa kusamehe hata siku moja huwa wanapotezea kwa muda tu. Ni kama volcano iliyolala ikiamka inakuja na kasi kama ile ya milima ya Indonesia si unashuhudia mwenyewe?
 
@Baba_Enock

Kataa Mpaka Kifo kitakapowatenganisha!

hana ushaidi wala nini! Kataa Kataa Kataa

mwache abaki na hisia tu - Life is not FAIR

sikubaliani na we kabisa:nono::nono::nono::nono::nono:
 
Deny deny deny deny! Kama hujakamatwa kwenye eneo la tukio, tafuta kisingizio cha kuonekana au kuwasiliana na huyo demu, singizia ulikuwa unafuatilia kazi au biashara or any other credible excuse.

Hata ukiomba msamaha, si kwamba atakusamehe. Atajifanya tu amekusamehe,na labda ata-ignore tu kwa muda. One thing you should know, is that women never forget such issues. Atakuja kukumbushia siku moja na inaweza ikawa chanzo cha ugomvi hata miaka kumi baadaye. Unachotakiwa kufanya ni kukataa, kataa, kataa, kataa, kwamba ulilamba huyo demu mwingine. Ila usirudie tena kucharge huko na huko kama charger ya kobe.

Exactly, excellent, keep it up, vemaaaaaa, yaani is like ur with me, katu katu kama demu hajakushika live, piga ua, kufa na kamba shingoni, huku umweleze with macho makavu kama kibaka mwizi, sema hapa mara 100 kidogo huku ukimalizi mpenzi every secs, meanwhile unamwambie ulivyo mrembo niende kwa yule,..? show her she is only ur queen, hawa hawaambiwagi ukweli as long hajakushika live, ooooohhh yaani ndio mwisho ukisema ukweli, sema noooooooooooo baby, then ur a really man, huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom