Kukidhi haja ya matamanio

Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.

Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.

Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini

Wakati wanaoana hawakuliona hili?? Au walidhania maisha ya ndoa yanaganda ktk ujana na afya njema tu??
 
hapa umedanganya kuhusu umri. la maana katika uwezo ni afya kwa taarifa yako kuna wazee wanaleta balaa mpaka vijana wanaondoka. suala si kupishana umri suala ni namna gani afdya yako inaruhusu kucheza pachanga

tuwashukuru waliogundua kiboko ya paulina
 
Naona wadau mnakuja juu kweli. Haya mambo yapo na yanatendeka. Ndio maana nikasema awali haya mambo si madogo. Ufumbuzi ni upi? Sio jazba wazee
 
i dont wanna go into troubles with u guy. Lets discuss the mada. Kwa muda mfupi uliokaa kwenye ndoa umegundua nini, mkuu
muda ni mfupi mno KAMA ULIVYOANDIKA!...nothing can be justified.lakini nitakupa siri moja tu......MAISHA NI YALE YALE!WATU WAACHE WOGA
 
muda ni mfupi mno KAMA ULIVYOANDIKA!...nothing can be justified.lakini nitakupa siri moja tu......MAISHA NI YALE YALE!WATU WAACHE WOGA

wakati mwingine si uoga bali ni wakati gani na ni vipi unaweza kuyatambua mahitaji ya mwenza bila ya yy kutokuwa na sababu ya kukueleza
 
Kuna wakati inafika wanandoa hawaridhishani, hasa mke haridhishwi.

Nazungumzia kwa wale wanandoa ambao mume umri umeenda na utendaji umedrop sana. Bao moja jogoo haamki tena! Utakuta mke bado anatamani ila hawezi kupata na mke mwenyewe bado analipa. Akitafuta mtu wa kumkuna kuna ubaya? Anahitaji nae kutosheka.

Hii imekaaje. Hili Si suala dogo lakini

Kingi,
Inapokuja suala la kuridhishana katika ndoa (na hata kwengineko!) nadhani ishu sio 'quantity' ni 'quality'!
 
Mkuu Kingi, maana ya ndoa unaifahamu vizuri kweli mkuu?
hakuna kitu kikubwa kinachobeba ndoa zaidi ya sex,umpate bibie ana sifa zote lkn mambo flani hakupi hapo kitaeleweka?tukiludi kwenye mada kama anakupa chochote utakacho na kukuheshimu na upendo wa dhati unaweza vumilia lkn mwili unakuwa huutendei haki mwili wakati mwingine akili ya kucheat inakujia
 
waelezee waelewe mzee, maana wanadhani ndoa ni kutazamana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom