Kukatika kwa umeme uwanja wa taifa; wizara yaomba radhi

Mkuu upo right, lakini kwa akili ya kawaida kabisa huhitaji kuwa na hata certificates (hata wale waonyesha mipira au filamu vichochoroni) wangejua tu kuwa umeme sio reliable hivyo wangehakikisha kajenereta kao kapo tayari na angalau lita mbili za petroli incase umeme umekatika!! Unataka kutuambia mechi kama ile ya fainali ambayo meneja angetegemea kupata not less than 400 milioni shilingi washindwe kuhakikisha kuwa jenereta ni nzima na mafuta yapo? kama sio uzembe ni nini? UKITAKA KUAMINI KUWA NI UZEMBE ANGALIA MECHI YA NUSU FAINALI NYAVU VIMECHANIKA MPIRA UNAPITA PEMBENI KUINGIA GOLINI! Sasa hata replacement za nyavu TUUNDE TUME!! Tukiendelea kuwa Taifa la kuunda tume hatufiki kabisa!! kwa mapato ya uwanja ule hata wakinunua standby genereta tatu wanauendesha vizuri tu.

Mkuu suala la standby power hata mjasiriamali mdogo kabisa mwenye saluni analijua. Sasa ukienda saluni, kumbi za starehe/burudani au shughuli mbalimbali za hapa nchini lazima ukute kuna standby generator na lipo tayari kwa kazi pale linapohitajika, iweje kwa asset kubwa kama uwanja wa taifa usiwe na kitu hicho (hata kama zilikuwepo hazikuwa tayari kutumika). Bado nasisitiza hapakuwa na haja ya tume kwani wazembe wanajulikana moja kwa moja.
Tume huwa inaundwa kwa mambo ambayo yana utata na ambayo kupata uhakika wake ni vigumu lakini si kwa jambo ambalo liko wazi kama hili.
 
Nchi hii tumezidi us*nge (Sorry kwa kutumia lugha ya kuudhi). Hivi haijulikani hata ni nani yuko responsible na nini?? Shame on us all.... Waziri shame on you.. cant you make a simple decision on this? Then leo mko kifua mbele (Mtoto wa mkulima) kwamba mnaweza kufanya maamuzi magumu... Shame on you all... shame on you all... Inaudhi na inatia kinyaa. Umeme unaokatika bila ratiba majumbani kwetu mbona hamuundi tume, appliances zetu zinazoungua kila siku majumbani kwetu mbona hamuundi tume, umeme usiokuwa na uhakika kwa taifa lenye miaka 50 ya uhuru mbona hamuundi tume... Shame on you all... Shame on you JK. A TOTAL FAILURE!
 
Tume yenyewe imekaa kifisadifisadi unafikili atachukuliwa hatua yoyote? Laaaa huyo meneja wa uwanja kaniboa sana kiasi kwamba siwezi kumwacha hivi hivi! akaendelea kutuzingua nataka nimfundishe adabu. Please naombeni mnitumie picha ya huyo meneja wa uwanja na majina yake matatu yani jina lake halisi, la baba yake na la babu yake baada ya siku 26 mtapata jibu kamili.
 
hivi huyu meneja akili zake zipo makalioni au?
ndo aloona linafaa kujitetea nalo hilo
walinunua la nini na kazi ya hiyo ndogo ni ninio?AU LA CHOONI?
inawezekana kabisa lilishaibiwa kitaaambo
kwanini alikuwa anawasiliana na tansc wasilkate umeme?
 
tume iundwe tena namimi naomba niwemo sitaki mshahara wl posho kuchunguza kwanini ngeleja yuko madarakani mpaka leo hii.
 
Mkuu upo right, lakini kwa akili ya kawaida kabisa huhitaji kuwa na hata certificates (hata wale waonyesha mipira au filamu vichochoroni) wangejua tu kuwa umeme sio reliable hivyo wangehakikisha kajenereta kao kapo tayari na angalau lita mbili za petroli incase umeme umekatika!! Unataka kutuambia mechi kama ile ya fainali ambayo meneja angetegemea kupata not less than 400 milioni shilingi washindwe kuhakikisha kuwa jenereta ni nzima na mafuta yapo? kama sio uzembe ni nini? UKITAKA KUAMINI KUWA NI UZEMBE ANGALIA MECHI YA NUSU FAINALI NYAVU VIMECHANIKA MPIRA UNAPITA PEMBENI KUINGIA GOLINI! Sasa hata replacement za nyavu TUUNDE TUME!! Tukiendelea kuwa Taifa la kuunda tume hatufiki kabisa!! kwa mapato ya uwanja ule hata wakinunua standby genereta tatu wanauendesha vizuri tu.

Mkuu suala la standby power hata mjasiriamali mdogo kabisa mwenye saluni analijua. Sasa ukienda saluni, kumbi za starehe/burudani au shughuli mbalimbali za hapa nchini lazima ukute kuna standby generator na lipo tayari kwa kazi pale linapohitajika, iweje kwa asset kubwa kama uwanja wa taifa usiwe na kitu hicho (hata kama zilikuwepo hazikuwa tayari kutumika). Bado nasisitiza hapakuwa na haja ya tume kwani wazembe wanajulikana moja kwa moja.
Tume huwa inaundwa kwa mambo ambayo yana utata na ambayo kupata uhakika wake ni vigumu lakini si kwa jambo ambalo liko wazi kama hili.
 
Jana Waziri Nchimbi aliunda tume ya watu wanne ili kutafuta kile kilichoelezwa "sababu ya kukatika umeme uwanja wa taifa juzi". Kwa mtazamo wangu mi naona hii ni kuwahadaa watanzania. Hapa hakuna jingine bali ni uzembe wa hali ya juu wa wahusika wa uwanja wa taifa (Hapa siilaumu Tanesco maana hao washashindikana).Umeme ulikatika sawa, standby generator zipo na zilipaswa kuwaka punde tu baada ya umeme kukatika, hali haikuwa hivyo. Tuanze kuwasaka wachawi wetu kuanzia hapo. Yaani tuanze na meneja wa uwanja wa taifa hadi kufikia kwa yule anayehusika na jenereta na ufundi umeme hapo uwanjani. Tujenge utamaduni wa kuwajibika na kuwajibishana na sio kuunda matume yanayotafuna mamilioni ya POSHO mwisho wa siku blah blah.
real blah blah.
 
Meneja wa Uwanja wa Taifa amesema kuwa anashangaa ni kwanini jana TANESCO walikata umeme mapema wakati kwa muda wote wa mashindano walikuwa wanawasiliana nao mara kwa mara wasikate umeme......pia amesema kuwa jenereta lililopo halimudu kuwasha umeme pale uwanjani........maswali zaidi amesema waulizwe wizara.Sosi:redio wani
inaonekana huyu meneja wa uwanja wataifa ana mapepo itabidi aombewe hii ishu ni siriaz mbaya..
 
huu uniujinga tu hakuna cha maana hapo kila wakati tume. wanazifanyia kazi taarifa wanazopata?
 
Tume ya nini? Nchimbi mwenyewe, akiwa amevaa nusu Yanga nusu Simba, ALIKUWEPO uwanjani. TANESCO wana utaratibu "mzuri tu" wa kugawa kwa zamu, nishati waliyonayo. Sasa nani alaumiwe? Kama ni kuunda tume, waanze na ukatikaji wa umeme huku majumbani kwetu, hasa hapa kwetu Uru. Waache longolongo! Kama hali halisi imeonekana, wanaogopa nini? Mie sioni sababu wala haja ya kuunda tume hiyo!
yani umenisaidia sana nisipewe ban maana nimetamani kutumia lugha ya KUUDHI kuhusu huyu waziri.umeme hapa rau wamekata sasa ni masaa 24 haujarudi mbona hawaundi tume?umeme unakatika hospitali mbona hawasemi tume!muheshimiwa hebu tukutane hapa rau nikupatie ngumu moja kama takrima kwani umeniokoa na ban!
 
Ndivyo matanzania tuliyvo,very stupid.Hajaona jambo lingine la maana la kufanya,kwake hilo ndilo la maana.
Wanajamiii kwa habari zilizotolewa na Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, ni kwamba waziri husika ameunda tume ya watu wanne kuchunguza suala la kukatika kwa umeme siku ya fainali ya CECAFA...
Najiuliza, hili nalo ni suala la kuundiwa tume kwa kweli..si suala la kuwatask TANESCO (Regional Manager dsm) na TFF (Tenga) na Manager wa uwanja nakujua uzembe umetokea upande upi na hatua kuchukuliwa moja kwa moja kwa wahusika...kama waziri anashindwa kufanya maamuzi hata katika suala hili dogo hadi tume imshauri kweli tutafika....maamuzi magumu yepi yatafanyika kama haya madogo wanayakwepa?
 
miaka 25 hatuna umeme serikali haiombi radhi

saa moja umeme unakatika uwanjani serikali inaomba radhi

Tanzania a country in which the expected never happen and the unexpected always happens
 
Back
Top Bottom