Kukatika kwa umeme kumbe sio kwetu tu!

Wisdom

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
472
111
Naangali Supersport 3 kunatakiwa kuwe na live match kati ya Gabon na Brazil, kituko kimetokea just before kick off umeme umekatika na President ndo mgeni rasmi, ni aibu tupu yaani mpaka sasa mechi imechelewa kwa dk 15.
 
Yaani ni aibu na uwanja wenyewe ndo mpya unazinduliwa leo kwa ajili ya AFCON mwakani, baada ya kusubiri kwa muda hatimae mpira umeanza.
 
Naangali Supersport 3 kunatakiwa kuwe na live match kati ya Gabon na Brazil, kituko kimetokea just before kick off umeme umekatika na President ndo mgeni rasmi, ni aibu tupu yaani mpaka sasa mechi imechelewa kwa dk 15.

Ahaaaa haaa umenichekesha saaana yaani ni kama vile unalala njaa nyumbani kwako halafu unagundua kuwa hata jirani yako pia amelala njaa halafu unafarijika kana kwamba njaa ya jirani yako itapunguza ya kwako.
 
This kind of thinking ndio walionayo wengi wa viongozi wetu wa serikali. Wanapenda sana kusema kwamba umaskini si tatizo la TZ ni la dunia nzima!! Oh kupanda kwa gharama za maisha si kwa TZ ni dunia nzima!! Bei za mafuta ni juu dunia nzima!!
 
Mkuu ni kweli kabisa utadhani tumelogwa. Akili zetu haziko straight, watanzania inashikitisha jinsi tunavyofikiria. Nadhani pia ni reflection ya huduma duni za afya na lishe kwa watoto wa tanzania, maana watoto wanazaliwa kwenye mazingira ya ovyo mno (nyumbani na mahospitalini) na wengi wanapata mild to moderate birth asyphixia hivyo kuwafanya wawe na some sort of cerebral palsy, yaani mtindiko wa ubongo. Sababu ingine ni lishe duni wanayopata watoto, wakiwa nyumbani au shuleni, wanashinda njaa wenye uwezo wananunua chips mihogo, waliowengi hasa vijijini na mijini uswahilini, mlo mmoja kwa siku nao wa shida, Watoto hawakui wakiwa na bongo zilizojengeka zinazofikiri sawasawa, watanzania karibia wote tumezaliwa na kukulia kwenye mazingira haya haya hivyo kwa umoja wetu tunamitindiko ya ubongo ndo maana hata kwenye masuala muhimu utakuta watu wanachekacheka tu. Watu wanamaisha magumu lakini bado wanawashangilia wale wanaowasababishia maisha magumu. There must be a problem somewhere!!.
 
Back
Top Bottom