Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 183
wanadaiwa bill ya maji! hawajalipa, wakakatiwa!! sasa tatizo ni nini!!?? kwani wao wanajeshi ni kina nani hasa, mpaka wapate hizo "special tx's"?? oooooh wanalinda TZ, thts boooooo!! kwani wanafanya hiyo kazi bure?? kuna mtu kamalazimisha mtu awe mwanajeshi?? hivi hao mgambo vilaza wanafanya nini hasa cha maana toka ile vita ya kagera iishe?? hivi wao na Madaktari ni wepi hasa wa maana sana?? kama ni Docs, mbona wao hapapati any preferential tx's??
Acheni uzembe hapa, kama walikuwa hawalipia maji, basi hao dawasco sijui dawasa ilikuwa halali yao kuwakatia!!
Mkjj una lako jambo ktk hili, ndio maana unatiwa mashaka sana ndani ya mioyo ya baadhi ya watu.........tatizo lako ni nini hasa?? chepi unachotaka?? huoni hii issue ni simple sana, ipo kwamba, "you don't pay your bills, you don't get the services." SIMPLE, dunia nzima ndio utaratibu ulivyo...........kaaazi kweli.
Ha ha lakini bana kusema kweli hawa wanajeshi wetu wangekuwa wanasaidia kwenye shuguli za maendeleo kama kujenga mashule,zahanati na vitu vingine. Ila kwenye issue ya deni ni haki yao wewe umetumwia notice miezi mitatu bado unakadi unategemea nini? Chimba kisima chako mwenyewe kama hutaki shida.