Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
They could have done it more diplomatically though, maana when you mess with those guys, you play with our National Security. Also wanasahau kuwa in order for Dawasco to request money for expenditures and stuff it has to go through the cabinet kabla ya kwenda bungeni, sasa kama wanawasumbua watu wa ulinzi, si Mwinyi anaweza kugoma kidogo kule...this should have been handled more diplomatically. Dawasco wangemuambia Prof kwanza, "Mzee ongea na Mwinyi maana wale jamaa wanatuchezea..."
Ila naamini kwamba fujo zilifanywa na watu wa chini ambao hawakutumwa na mtu na watashughulikiwa.
Kuhusu kupatikana Milioni 400 za mpira, hiyo si order ya bwana mkubwa ambaye anavalue mpira na mbwebwe kuliko basic huduma kwa wananchi. Seikali kutoa hela kwa huduma ni process ngumu sana, ila nenda ukaombe pesa za mradi fixi and you promise an official a commission, uone utapata pesa gani.
Hii attitude ya kuweka special preference kwa watu wa ulinzi ndiyo inayo create monsters.
Rule of law lazima ifuatwe, usipolipa unakatiwa, haijalishi kama wewe mwanajeshi,askofu, mbunge, waziri, serikali ya Zanzibar au mungumtu yeyote aliye katika jamhuri yetu.
Nyerere alishasema nchu yetu inahitaji rais "kichaa" ili iendelee, huyu kichaa aliyepo maji anayehatarisha maisha yake by taking on the army anastahili medali.
Kumbukeni maji ni biashara na kutolipa bili kunachangia miundombinu kutotengenezwa na wengine kutopata maji.