Kukataliwa kwa Mkapa Burundi: Je, ni mwisho wa "ushawishi" wa TZ katika Siasa za Afrika?

Adui yetu mkubwa ni yule aliyemteua Mkapa kuwa msuluhishi , alilenga kutudhalilisha .

Ni hivi , Tanzania kama nchi haina uwezo wa kusuluhisha migogoro ya kisiasa hata kwenye ngazi ya kata , achilia mbali nje ya nchi , bali kuna watu wawili tu ndani ya nchi hii wenye uwezo wa kuwa wasuluhishi , wote ni wazanzibar , nadhani kwa vile wote ni machotara .

Mmoja anaitwa Amani Karume na Mwingine anaitwa Salim Ahmed Salim , lakini hakuna mzee yeyote katika hawa wachumia tumbo na wanafiki waliojazana huko Tanganyika anayeweza kusuluhisha hata mgogoro wa ndoa , nadhani rangi nyeusi ni laana .
 
Kweli kwangu mimi mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bora na sidhani kama anaweza tena! Na wanaochagua hawa wasuluhishi ni kina nani? Huwezi chagua mtu ambaye kwake kumemshinda kwenda kuwa msuluhishi nje! Mwalimu alichokuwa anategemea kutoka kwa chinga sicho alichokuja kukiona! Bora alitangulia mbele za haki mapema kuliko angeona yaliyofuata!
 
Acheni kukuza mambo, waliomkataa ni hao waliojificha Rwanda waliotaka kupindua serikali, sababu amewaita wehu na hawataruhusiwa kushiriki kwenye meza ya mazungumzo, na ni kweli Nkurunzinza alishinda kwa kura nyingi zaidi.
Juzi juzi hapa walitaka kumuua msemaji wa Nkurunzinza, wakaua bodyguard wake, watu kama hao ndio wawekwe kwenye mazungumzo, wa kazi gani, wabongo mnapenda complain nonsense sana lately, tuacheni siasa kwenye kila kitu
Kama kitu hujui usionyeshe kiasi cha ujinga wako! Kujua kutumia smartphone au PC isiwe kero kwa wenzio kwani hata robbot linaweza kupress button!
 
Acheni kukuza mambo, waliomkataa ni hao waliojificha Rwanda waliotaka kupindua serikali, sababu amewaita wehu na hawataruhusiwa kushiriki kwenye meza ya mazungumzo, na ni kweli Nkurunzinza alishinda kwa kura nyingi zaidi.
Juzi juzi hapa walitaka kumuua msemaji wa Nkurunzinza, wakaua bodyguard wake, watu kama hao ndio wawekwe kwenye mazungumzo, wa kazi gani, wabongo mnapenda complain nonsense sana lately, tuacheni siasa kwenye kila kitu
Ulitaka akasuluhishe mtu na shoga yake, au yeye hakujua anakwenda kusuluhisha wauaji.
 
Salimu Ahmed Salimu ndo aliyebaki kidogo na JK wengine wakishakunywa kibuku na ugoro kinachofuata ni kuwaita watu wehu
 
Burundi ilifaa aende Kipenzi chetu Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda
Hahahahahaha ....
Pinda ana huruma sana,anaweza kuangua kilio hasa pale atakapoambiwa mmoja kaonewa na ananyanyasika.
 
Mkapa hana tofauti na Lisu ni watu wenye tamper hawawezi kusuluisha watu kwa sasa only JK ndio anaweza hiyo kazi
Nakuunga mkono,maana jk anajua kucheza na hakili za wakusika,akigundua kunammoja anatakiwa ubabe anafanyiwa na hata mwenyewe asijue,ila kwa bwana mkapa yeye baadala ya kusuluhisha anaendelea kumuongezea machungu muhusika,kwa manenoyake bm ingekua nchi nyingine vile anaondoka tu,huko nyuma yake kinawaka nchi nzima.

Nimeona kwa jk,tangu apewe ule mgogoro wa libya ,akaenda kwenye hizo nchi na tayari serkali ya libya imepunguziwa vikwazo vya siraha kwa lengo la kuwapunguza nguvu waasi na vilevile tumemsikia. Hadi obama amesikitika kutokana na kuuawa kwa gadafi.igawa ingawa anasemaga mdomoni tu lakini kwenye uharisia sio kweli.
 
Acheni kukuza mambo, waliomkataa ni hao waliojificha Rwanda waliotaka kupindua serikali, sababu amewaita wehu na hawataruhusiwa kushiriki kwenye meza ya mazungumzo, na ni kweli Nkurunzinza alishinda kwa kura nyingi zaidi.
Juzi juzi hapa walitaka kumuua msemaji wa Nkurunzinza, wakaua bodyguard wake, watu kama hao ndio wawekwe kwenye mazungumzo, wa kazi gani, wabongo mnapenda complain nonsense sana lately, tuacheni siasa kwenye kila kitu
Tatizo hakutakiwa hutoa maneno makali,na kuwatukana wahusika.
 
Ukweli ulio wazi ni kuwa mtu yoyote anayeamini katika nguvu ya jeshi hawezi kiwa msulihishi mzuri. Mfano Mkapa, Magufuli, Museveni, Kagame. Viongozi hawa hawawezi kuwa washuluhishi wa haki. Huyo mkapa ameipata nafasi hiyo ya usuluhishi by default ila sio kwa uwezo wa usuluhishi. Imejengeka vichwani mwa watu wengi kwamba watanzania ni watu wakarimu na waungwana hasa kwa legacy aliyoacha mwl. Nyerere. Hivyo viongozi wengine wa tanzania wanatembelea hiyo nyota lakini in reality huyo Mkapa hafai kuwa msuluhishi wa jambo lolote kutokana na tabia yake ya jazba na mtu anayeamini katika kuogopwa.

Yeye ni mmoja wa watu wanaoharibu nchi hii nyuma ya pazia. Kumbukumbu za kutokuwa msuluhishi sahihi ni yale mauaji ya wapemba, tunajua tabia yake ya siasa za majitaka dhidi ya upinzani, tena kama si Vicent Nyerere kumpa makavu live kuhusu kifo cha mwl. leo hii bado angekuwa anapanda jukwaani kumwaga utengano wa kiitikadi nchini.

cc: Hoshea
 
Back
Top Bottom