Kukata kiuno

Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?

Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".

Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.
sasa zomba ukatikaji wa mwanaume huwa unaambatana na kuchochea ili msumari uipenye mbao kisawasawa ndio maana watu hushindwa kutofautisha ukatikaji wa kiume na kike.
 
marhaba mkuu nilijuaga wewe n mwenzangu siasan tu kumbe hata huku upo????

Hahahahahaaaa gfsonwin ili binadamu ukamilike huku ni compulsory....by the way bado najiuliza hiyo comment yako umeyajuaje?? Kusoma vitabuni, life experience au?
 
Usiniundie FITNA brother , Hakuna post yangu yoyote niliyowahi kumtaja YESU,walokole wala dini .Hilo ni swali tuu niliuliza kama limekugusu Pole.

suala sio kunigusa...jifunze kuheshimu binadamu mwenzako aliyeumbwa na Mungu anayekupa pumzi wewe.
Kwani mlokole si mwanadamu hata uulize habari ya kufanya mapenzi?,kwani walokole wenyewe wametengenezwa kwa chuma kiasi kwamba miili yao haina uwezo wa kunyumbulika?...
your innermost intention to potray your stupidity is the reason why I decided face you neno kwa neno...otherwise enjoy the Chit Chat show as it happens
 
sasa zomba ukatikaji wa mwanaume huwa unaambatana na kuchochea ili msumari uipenye mbao kisawasawa ndio maana watu hushindwa kutofautisha ukatikaji wa kiume na kike.

Kwa uzoefu wangu, mimi ndio najituma zaidi kuliko mwanamke, msumari ukiwakolea wanakuwa taabani. Labda usiwakolee.

Utaaabani wa mwanamke ni wa kuendelea toka unapoanza kumfikisha panapotakiwa na utaabani wa mwanamme ni anapodondoka baada ya...Hapo sasa.

Ukiona mwanamke bado anachakarika na wewe umeshadondoka, ujuwe kazi yako haijazaa matunda na utaambulia "pole".
 
halafu ndio zitakuja stori za hanifikishi kileleni utafikiri yeye ni mtalii big up.
 
Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?

Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".

Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.

zomba umeua!kimsingi mwanaume nae akikatika ina kuwa daaaaaaah!
 
Kiuno kinafuata rythm...hivyo vya kufanya consciously ni wizi mtupu.

I am very selfish ikija kwenye hiyo game...uki focus kwenye mauno ndio unaambulia kumfurahisha bwana wewe unatoka kapa.
hapo umenena wangu. ukiikoleza kiuno kitajipa tu.
hivi vingine vya kuforce havinatija.
 
Back
Top Bottom