Kikwete kikwete tumekufanya nini mpaka utuharibie nchi yetu? Ufisadi ulioufanya na kuingiza nchi yetu kwenye mikataba feki bado hujakoma unazidi kutuchafua na kutuharibia taifa letu, Ipo siku tutadili na wewe fisadi usiye na haya
Mimi sija bahatisha hizi habari. Ukweli no kwamba no amri wabunge wote wa chadema kwenda arusha.
Kama vile kumsusia kikwete mwaka jana. Mod acha uhuru wa habari. Acha ku edit habari za ukweli na uhakika
@Majasho, naona majasho yameshaanza kukutoka! Mbowe hajajikamatisha mwenyewe, polisi ndio wamemkamata! you shall reap what you sow!
Nimeona mmezidi kubweka mkimtetea Mbowe kana kwamba kutohudhuria mahakamani pasipo kutoa udhuru ni jambo rahisi kama mnavyofikiria nyie WANA CDMMbona umechelewa sana ndugu yangu? ulikuwa wapi?
shahidi wa nn mzee, Napenda tu niwe aware!
CDM muepuke kutumia jazba katika masuala yanahusu mahakama, pale ni pahala pa kutumia busara na heshima. Mmezoea kupambana na Vijana wa Saidi Mwema, MAHAKAMA ni uwanja mwingine. Muwe tayari kesho kwa jambo moja katika ya haya; Jela Miezi 3 na kupoteza sifa za UBUNGE ikifuatiwa na kupungua kwa RUZUKU ama KUFUTIWA DHAMANA. Mlikuwa mnacheza makida makida, CHAMOTO mtakiona, sie watazamaji; NYIE MMEZOA KUGOMEA VIKAO VYA MADIWANI NA BUNGE, sasa mlifananisha na VIKAO VYA MAHAKAMA????Kila mtu sasa amekuwa hakimu wa kutoa hukumu ya kesi ambayo hata haijasikilizwa! ajabu.
Hapo penye nyekundu nakushukuru kwa kulitambua hilo.Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.
Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.
Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.
Ni jambo la kushangaza kwa wana CDM kulalama na kuitupia lawama CCM kuwa imetia mkono kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ambaye ni mbunge Hai, Mheshimiwa Freeman Mbowe. Haingii akilini kwa watu walio makini kutotenganisha mipaka ya kazi kati ya MAHAKAMA, POLISI na CCM. Mbowe ni mjuaji wa ufanyaji kazi na taratibu za vyombo vya sheria na dola vya nchini mwetu, tena amezungukwa na jopo la wanasheria na mawakili wanaoshinda katika viunga vya mahakama kila kukicha HIVYO ni wajuzi wa masuala ya mahakama yanavyoendeshwa.
Ni jukumu la kila mshitakiwa aliye katika dhamana kuweka kumbukumbu ya siku ya kesi, tena mheshimiwa ana kitu cha ziada kwani katika kesi yao wapo washitakiwa wengi ambao haipiti siku pasipo kuwasiliana. Pia katika kesi yao wana wakili ambaye kwa mujibu wa kazi zake ni lazima aweke kumbukumbu ya tarehe za kesi zinazohusu wateja wake. Mshitakiwa kama Mbowe ambaye ni mtunga sheria na anaetetewa na wakili, katika hali ya kawaida, hataeleweka machoni mwa jamii kuwa ameshindwa kutokea MAHAKAMANI zaidi ya mara moja pasipo kutoa sababu za maandishi kwa Mahakama husika kupitia mwakilishi wake ama WAKILI.
Moja kwa moja, ujumbe unaopatikana ni DHARAU kwa MAHAKAMA ama anataka umaarufu kupitia vyombo vya SHERIA. Hivyo Hakimu hana makosa, mkono wa sheria umechukua MKONDO wake. Watz tuchape kazi tusiingie katika mtego wa CDM na MBOWE ambao wanataka kujipatia UJIKO kupitia MAHAKAMANI na POLISI. Maandamano endelevu wamegundua hayana mvuto badala yake wanataka MISIFA kwa kuifanya MHIMILI mmojawapo wa DOLA uonekane hauna USAFI mbele ya wananchi.
KWA KUWA AMELIKOROGA, INABIDI ALINYWE SI VINGINEVYO!!!!
Msingi wa yote ni DHARAU kwa mahakama wala haina uhusiano na vikao vya bunge. Usitoke nje ya reli, MBOWE AMEDHARAU MAHAKAMA KWA KUTOTOA TAARIFA SIKU ZA KESIHebu soma katiba ya nchi uone inasemaje pindi mbunge mwenye kesi mahakaman anapokabiriwa na majukumu ya bunge.Ukimaliza waeleze na wana ccm wenzako wote!
Nimeona mmezidi kubweka mkimtetea Mbowe kana kwamba kutohudhuria mahakamani pasipo kutoa udhuru ni jambo rahisi kama mnavyofikiria nyie WANA CDM