Kukamatwa kwa Mbowe, jaji mkuu Chande anahusika?

Max umesema kuwa wiki nzima yote unakuwa hapa JF angalia mzushi mwingine huyu hapa , kama sio kweli nitashangaa usipompiga ban, hata Josephine (first lady wetu tuliemchagua ) hajathibithisha hili. sijui hawa mamluki wanataka kuipeleka JF wapi jamani
 
Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.

Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.

Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.

@Majasho, naona majasho yameshaanza kukutoka! Mbowe hajajikamatisha mwenyewe, polisi ndio wamemkamata! you shall reap what you sow!
 
Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.

Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.

Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.

Majasho CDM haijagawanyika kama Chama la Magamba. Halafu bajeti itapita hata bila kuwepo CDM si wabunge wenu NDIYO MZEE. La mwisho maendeleo hata bajeti ikipitishwa na CDM hayapo kwa sababu sera za serikali iliyoko madarakani hazipo wala hazitekelezeki; kuna ahadi za kisanii ambazo nadiriki kusema kuwa pia hazitekeleziki ispokuwa kwa maneno na tambo. Wenzetu Asia tuliopata nao uhuru wako wapi?
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani yuko polisi, msaidizi wake yuko polisi nani atakalia atakaimu nafasi zao?

Tusubiri tuone.
 
Na kama watakwenda Arusha na kuacha bunge basi hawa watakua ni wapumbavu wakubwa.

Mpumbavu siku zote atamuona mwerevu kwake ni mpumbavu. Hili linadhihirishwa na kauli yako mwenyewe kuwa ni mpumbavu.
 
Halafu huyo Chande hakustahili kupata wadhifa huo mkuu kwani kuna majaji wqengine wanne wa Mahakama ya Rufaa wamerukwa (katika order ya seniority). Kwa hali hii maamuzi yake yote yanayohusu serikali ya JK yatatiliwa shaka.

Nchi hii inazidi kupotea njia.
Sijali sana maswala ya seniority ya majaji, after all sio kitu official, jaji ni jaji, senior wa majaji ni jaji kiongozi na jaji Mkuu, na si lazima jaji kiongozi ndio amrithi jaji mkuu.

Tatizo la teuzi ya Chande Othman ni kwamba, utamtuaje Jaji Mkuu na Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman, mtu na mdogo wake, utawala bora gani huo? Kikwete anafanya mambo yanamvunjia stature mbele ya jamii, anaendesha nchi kama duka la kupima mafuta ya taa.
 
Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.

Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.

Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.
kama kweli wanakwenda huko, sidhani kama wanawezxa kukaa kwa zaidi ya wiki na bajeti itapitishwa mwishoni mwa wiki ijayo. Hivyo, sidhani kama inaweza kupitishwa bila mchango wao
 
Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.

Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.

Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.

Na kama watakwenda Arusha na kuacha bunge basi hawa watakua ni wapumbavu wakubwa.

Max umesema kuwa wiki nzima yote unakuwa hapa JF angalia mzushi mwingine huyu hapa , kama sio kweli nitashangaa usipompiga ban, hata Josephine (first lady wetu tuliemchagua ) hajathibithisha hili. sijui hawa mamluki wanataka kuipeleka JF wapi jamani
Nipo,

Ni kweli, baadhi ya wabunge wa CDM wanaelekea Arusha, nimeongea na wawili wamethibitisha ila wamesema wanaoenda si wote na hakuna aliyewalazimisha au kuwaamuru, wamepanga wenyewe na wanaondoka wenyewe bila kushurutishwa.

Watakuwa bungeni kama kawaida, kupindisha hoja ni kuifanya inoge tu (nadhani utani wa kisiasa).

Thread title imebadilishwa, hakuna aliyeamriwa
 
Arusha vikija vichwa vitatu kumsaidia Lema patachimbia... Mdee asikose tafadhali... Sipati picha muvi la kesho
 
Sijali sana maswala ya seniority ya majaji, after all sio kitu official, jaji ni jaji, senior wa majaji ni jaji kiongozi na jaji Mkuu, na si lazima jaji kiongozi ndio amrithi jaji mkuu.

Tatizo la teuzi ya Chande Othman ni kwamba, utamtuaje Jaji Mkuu na Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman, mtu na mdogo wake, utawala bora gani huo? Kikwete anafanya mambo yanamvunjia stature mbele ya jamii, anaendesha nchi kama duka la kupima mafuta ya taa.

Samahani mkuu, hivi ni kweli kabisa kwamba Jaji mkuu na Mkuu wa usalama wa taifa ni ndugu?
 
Guys,

It is time now we became more serious people! Hapa si U-CDM wala U-CCM hapa ni utaifa mbele. Kama upo hapa kwaajili ya U-CDM/CCM rethink your presence in the JF.

Kwa ujumla kuna uonevu wa wazi juu ya vyombo vya dola dhidi ya vyama vya upinzani,si hapa TZ tu, seee in Uganda! Hakuna asiyejua kuwa polisi na usalama wa taifa TZ wapo kwaajili ya Chama tawala. We know, and they do it!

Lakini juu ya whether bajeti itapita or not, nadhani mnajua kuwa mambo mengi makubwa Bungeni hutakiwa kuamuliwa kwa kura. Na ikiwa kuna upingaji wa kipengele fulani cha bajeti kina utata, Spika ataamuru Wabunge wapige kura. Kura zenyewe mnazijua, ni za 'NDIYO-SIYOOOO'. na mwajua fika kuwa hata zingekuwa kura za vidole bado Wabubge wa CCM ni wengi kuliko wa upinzani, Thus automatically CCM wanauwezo wa kupitisha kila watakacho kupitia bungeni hasa kutokana na kwamba unafiki umewajaa wabunge hao wa Chama Tawala. See upigaji wa kura juu ya Muswada wa Sheria ya Maboresho ya Sekta ya Mahakama ktk Bubge lililopita and you will see what I mean).

Kwa hiyo kuportray kuwa CDM wakienda kumtetea Mwenyekiti wao mambo yataharibika bungeni ni kudhani kuwa CDM wakiwa bungeni ndiyo mizengwe itaisha bungeni. It will only be so pale CDM watakapokuwa na wabunge wengi mjengoni compared to Chama tawala.

Hatuna haja ya kuitana wapumbavu..etc...tujadili hoja zenye tija na weledi, si matusi.

Nawasilisha.
 
sijali sana maswala ya seniority ya majaji, after all sio kitu official, jaji ni jaji, senior wa majaji ni jaji kiongozi na jaji mkuu, na si lazima jaji kiongozi ndio amrithi jaji mkuu.

Tatizo la teuzi ya chande othman ni kwamba, utamtuaje jaji mkuu na mkuu wa usalama wa taifa, rashid othman, mtu na mdogo wake, utawala bora gani huo? Kikwete anafanya mambo yanamvunjia stature mbele ya jamii, anaendesha nchi kama duka la kupima mafuta ya taa.

huo ndio udhaifu mkubwa wa jk. Kama hakuegemea kwenye udini basi atakamatika kwenye uswahiba.
 
Mimi sija bahatisha hizi habari. Ukweli no kwamba no amri wabunge wote wa chadema kwenda arusha.

Kama vile kumsusia kikwete mwaka jana. Mod acha uhuru wa habari. Acha ku edit habari za ukweli na uhakika
 
Wabunge wote wa chadema wanaanza safari ya kwenda arusha kumtetea mwenyekiti wao badala ya kwenda dodoma kutetea maslahi ya wananchi wao.

Huu mpango wa makusudi wa mh mbowe kujikamatisha makusudi ili kupata headlines throughout the week sio jambo jema kwa maendeleo ya nchi yetu.

Haya wabunge wote wa chadema wanaanza arusha. Bajeti itapita bila mchango wao na maendeleo hamna.

Uko usingizini?????
 
Chadema hata wakiwa bungeni hakuna kitakachobadilika mfano mzuri ni ktk kikao cha Bunge kilichopita wakati Tindu Lissu alipowasilisha mswaada wa mahakama kwa manufaa ya Watanzania wote lakini Wabunge wa ccm wakampinga Lisu na kupitisha kwa maslahi ya chama chao cha magamba (ccm).

Ahadi za Serikali kutekelezeka huchukua muda mwingi sn sasa msikilaumu Chama cha Chadema kuwa kinachelesha maendeleo ya wananchi wake kupigia wabunge kiliopata ktk uchaguzi.

Ni Imani yangu Chama chetu cha Chadema kimejipanga vizuri hakuna litakaloharibika huku sisi wanachama tukiwapa sapoti viongozi wetu wa Chadema.

Kesho ni mahakamani tutajitokeza kwa wingi. Hakuna kitu kigumu Kama kuitafuta haki, huchukua hata uhai wa watu hiyo ipo wazi.
 
Back
Top Bottom