Kukamatwa Kwa Freeman Mbowe: Tafsiri Yangu

Nyie maggid hamjamjua,
Hakuna siku anaweza kuongea bila kuchomeka udini udini yaani.

Kwa akili yake hapo anona Lipumba ndiye minzani wa kweli eti si waliita CUF CCM B, fikiria hapo kwa undani anaponda chama kinachoitwa cha ki Kikristo na kufagilia anachofikiri ni cha Kiislamu
Si mwamini kabisa na hii inatokana na tabia zake za kinafiki.
 
Kama kuna mtu hajui mnafki yukoje basi hasipate tabu huyu ndio mnafki namba moja, yeye anadhani hili ni jukwaa la mashoga.

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th May 2011
Posts : 795
Thanks 130 Thanked 57 Times in 48 Posts

Rep Power : 22

icon1.png
Re: Mbunge wa cuf magdalena sakaya na viongozi waandamizi wa cuf wanyimwa dhamana mara ya pili.

Huyo hakimu inafaa achunguzwe na au mtoa habari kama ni habari za kweli au walishindwa masharti mengine ya dhamana. Si vyema kuihusisha mahakama na CCM. Kama hakimu ana mapungufu basi huyo hakimu hatoungwa mkono na CCM. Na kama mwandishi wa hii habari ndio ana mapungufu nae pia achunguzwe.

Unafik uko wapi hapo? hujuwi kusoma? penye ukweli panabaki kuwa ni ukweli.
 
Hongera mkuu Maggid nimeisoma hii thread yako zaidi ya mara tano, umeandika ukweli mtupu
 
chambuwa, kokotowa, sasambuwa, lakini ukweli unabaki ukweli tu, ukivunja sheria za mahakama unapelekwa kwa nguvu ya dola. Sasa bwan maggid kama diplomasia haikutumika hayo si makosa na ingetumika ingekuwa ni makosa.

Diplomasia kama uitakayo bwan maggid ingetumika, kibri kingezidi, mbowe ndio angekuwa kama kisha kuwa rais tayari, hivi ni kiongozi wa upinzani tu, alishaanza kuifanyia kibri mahakama.

Maswali ya kujiuliza ni kwanini wenzake kwenye kesi hiyo hiyo hawakufanya kibri na walitii amri ya mahakama? Alikuwa ana beep? Kama ana beep basi dola imempigia na imemuonesha kuwa dola ni dola na upinzani ni upinzani.

Bwan maggid, hilo la mbowe na cdm kwa ujumla kujitakia umaarufu wala lisikutie shaka sana, kwani, cdm wameonyesha "foul strategies" za kujitafutia umaarufu kila kukicha, tumeona wakijitafutia umaarufu mpaka wa kwenye maiti huko tarime na kujifanya wao wana hisia saaana, hata kwa vibaka. Tumeona walivyomtanguliza gf (natumia gf kwani nikitumia neno stahiki "hawara" wengi hawatoridhika ingawa ndio ukweli) wake slaa kule arusha na kumpiga picha ilhali kajitapakaza tomato sauce. Tumeona wakijitafutia umaarufu kwa kutangaza maandamano kila kukicha. Kwa hayo, usiskitike sana kwa mbowe kutumia tena "strategy" chafu kwa kujitafutia umaarufu.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, mahakama ni mahakama, rais ni rais na bunge ni bunge. Hii ni mihimili mitatu ambayo kila mmoja unatakiwa uheshimu maamuzi ya mwenzake na kanuni zake. Wala kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani kusimtie kibri mbowe na kuona kuwa dola litaogopa kutimiza wajibu wake inapobidi.
acha kutumika amevunja sheria ipi? Mbona mahakama imekataaaaaaa wewe ni zaidi ya mahakama? Unafiki utawaua saana na mtabaki vinywa wazi, wagonjwa wanakosa vitanda na dawa hospitali mko teyari kutumia ndege na rasilimali yote hiyo kumsafirisha mbowe?????????? Imekulwa kwenu magamba.-aibuuuuuuuuuuu kwa magamba na Chagonjaaaaaaaaaa
 
Hivi unaposema tafsiri yako kwani wewe nani? Una wadhifa gani katika jamii yetu?
 
Chambuwa, kokotowa, sasambuwa, lakini ukweli unabaki ukweli tu, Ukivunja sheria za mahakama unapelekwa kwa nguvu ya dola. Sasa bwan Maggid kama diplomasia haikutumika hayo si makosa na ingetumika ingekuwa ni makosa.

Diplomasia kama uitakayo bwan Maggid ingetumika, kibri kingezidi, Mbowe ndio angekuwa kama kisha kuwa Rais tayari, hivi ni kiongozi wa upinzani tu, alishaanza kuifanyia kibri mahakama.

Maswali ya kujiuliza ni kwanini wenzake kwenye kesi hiyo hiyo hawakufanya kibri na walitii amri ya mahakama? Alikuwa ana beep? kama ana beep basi dola imempigia na imemuonesha kuwa dola ni dola na upinzani ni upinzani.

Bwan Maggid, hilo la Mbowe na cdm kwa ujumla kujitakia umaarufu wala lisikutie shaka sana, kwani, cdm wameonyesha "foul strategies" za kujitafutia umaarufu kila kukicha, tumeona wakijitafutia umaarufu mpaka wa kwenye maiti huko Tarime na kujifanya wao wana hisia saaana, hata kwa vibaka. Tumeona walivyomtanguliza gf (natumia GF kwani nikitumia neno stahiki "hawara" wengi hawatoridhika ingawa ndio ukweli) wake Slaa kule Arusha na kumpiga picha ilhali kajitapakaza tomato sauce. Tumeona wakijitafutia umaarufu kwa kutangaza maandamano kila kukicha. Kwa hayo, usiskitike sana kwa Mbowe kutumia tena "strategy" chafu kwa kujitafutia umaarufu.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, mahakama ni mahakama, Rais ni Rais na Bunge ni Bunge. Hii ni mihimili mitatu ambayo kila mmoja unatakiwa uheshimu maamuzi ya mwenzake na kanuni zake. Wala kuwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani kusimtie kibri Mbowe na kuona kuwa dola litaogopa kutimiza wajibu wake inapobidi.
Go to hell!
 
Tatizo la kuhangaika na mbumbumbu kama wewe. Nina wasiwasi sana walimu wako walikuwa wanakuchapa sana wewe. Poor analysis and too hopeless
 
Maggid amejitahidi kutoa tafsiri yake na huku akijaribu kutumia hoja dhaifu katika ku-balance habari yake. Nadhani katika aina ya uandishi wa akina Maggid kuna-vitu vingi tu vinakosekana pale anapojaribu kujenga hoja ambayo yeye anadhani ni balanced.

Habari inakuwa balanced pale pande zote za habari hiyo zinapokuwa supported na well structured information and evidence. But you can not at all get a balanced info kwa kuzungumzia hisia binafsi na wish zako za nini kingefanyika.

Maggid, ukisoma taarifa yake utaona ya kuwa yupo poorly informed and on that sense it is very hard to come up with a well balanced story. I'm afraid that having writers like Maggid sometimes is very misleading. For someone who is well exposed and conversant with what is happening in our country Nadhani angeweza kwenda extra miles na kupata majibu ya maswali yafuatayo:
  • Ni kwa nini Mbowe alitakiwa kukamatwa na Hakimu yule?
  • Ni kwa ni ni Mbowe alishindwa kuhudhuria mahakamani au mdhamini wake kushindwa kutokea mahakamani?
  • Je, nini ulikuwa mtazamo wa Mbowe kuhusiana na yeye kushindwa kuhudhuria Mahakamani?
  • Je, Maggid anajua ya kwamba Mbowe aliiandikia mahakama kuitaarifu juu ya yeye kutokuhudhuria mahakama hiyo kwa sababu ya shughuli za kiubunge?
Nadhani umefika wakati tuwe wa kweli na tuache kuendeshwa na hisia katika kila jambo tunalolifanya. Maggid, we need to be open and objective in whatever we are doing for the benefits of Tanzanians, what I see is an attempt to downplay the gains made by Chadema and Mbowe. Acha old-fashioned propaganda.
 
Unafik uko wapi hapo? hujuwi kusoma? penye ukweli panabaki kuwa ni ukweli.

Mbona mahakama haikumtia hatiani Mbowe, kwa makosa unayosadikisha kayatenda?
Mbowe hana HATIA.
Huo ndio ukweli unaobakia kuwa ni ukweli.
 
Chambuwa, kokotowa, sasambuwa, lakini ukweli unabaki ukweli tu, Ukivunja sheria za mahakama unapelekwa kwa nguvu ya dola. Sasa bwan Maggid kama diplomasia haikutumika hayo si makosa na ingetumika ingekuwa ni makosa.

Diplomasia kama uitakayo bwan Maggid ingetumika, kibri kingezidi, Mbowe ndio angekuwa kama kisha kuwa Rais tayari, hivi ni kiongozi wa upinzani tu, alishaanza kuifanyia kibri mahakama.

Maswali ya kujiuliza ni kwanini wenzake kwenye kesi hiyo hiyo hawakufanya kibri na walitii amri ya mahakama? Alikuwa ana beep? kama ana beep basi dola imempigia na imemuonesha kuwa dola ni dola na upinzani ni upinzani.

Bwan Maggid, hilo la Mbowe na cdm kwa ujumla kujitakia umaarufu wala lisikutie shaka sana, kwani, cdm wameonyesha "foul strategies" za kujitafutia umaarufu kila kukicha, tumeona wakijitafutia umaarufu mpaka wa kwenye maiti huko Tarime na kujifanya wao wana hisia saaana, hata kwa vibaka. Tumeona walivyomtanguliza gf (natumia GF kwani nikitumia neno stahiki "hawara" wengi hawatoridhika ingawa ndio ukweli) wake Slaa kule Arusha na kumpiga picha ilhali kajitapakaza tomato sauce. Tumeona wakijitafutia umaarufu kwa kutangaza maandamano kila kukicha. Kwa hayo, usiskitike sana kwa Mbowe kutumia tena "strategy" chafu kwa kujitafutia umaarufu.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, mahakama ni mahakama, Rais ni Rais na Bunge ni Bunge. Hii ni mihimili mitatu ambayo kila mmoja unatakiwa uheshimu maamuzi ya mwenzake na kanuni zake. Wala kuwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani kusimtie kibri Mbowe na kuona kuwa dola litaogopa kutimiza wajibu wake inapobidi.

Umechambua ki Maralia Sugu style
 
Inaonekana humu ndani ya jf kuna wa2 wana2mwa waje ku2chokoza!! Hizo mada zenu za kishenzi pelekeen huko huko...... Cyo hapa jf.
 
Chambuwa, kokotowa, sasambuwa, lakini ukweli unabaki ukweli tu, Ukivunja sheria za mahakama unapelekwa kwa nguvu ya dola. Sasa bwan Maggid kama diplomasia haikutumika hayo si makosa na ingetumika ingekuwa ni makosa.

Diplomasia kama uitakayo bwan Maggid ingetumika, kibri kingezidi, Mbowe ndio angekuwa kama kisha kuwa Rais tayari, hivi ni kiongozi wa upinzani tu, alishaanza kuifanyia kibri mahakama.

Maswali ya kujiuliza ni kwanini wenzake kwenye kesi hiyo hiyo hawakufanya kibri na walitii amri ya mahakama? Alikuwa ana beep? kama ana beep basi dola imempigia na imemuonesha kuwa dola ni dola na upinzani ni upinzani.

Bwan Maggid, hilo la Mbowe na cdm kwa ujumla kujitakia umaarufu wala lisikutie shaka sana, kwani, cdm wameonyesha "foul strategies" za kujitafutia umaarufu kila kukicha, tumeona wakijitafutia umaarufu mpaka wa kwenye maiti huko Tarime na kujifanya wao wana hisia saaana, hata kwa vibaka. Tumeona walivyomtanguliza gf (natumia GF kwani nikitumia neno stahiki "hawara" wengi hawatoridhika ingawa ndio ukweli) wake Slaa kule Arusha na kumpiga picha ilhali kajitapakaza tomato sauce. Tumeona wakijitafutia umaarufu kwa kutangaza maandamano kila kukicha. Kwa hayo, usiskitike sana kwa Mbowe kutumia tena "strategy" chafu kwa kujitafutia umaarufu.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, mahakama ni mahakama, Rais ni Rais na Bunge ni Bunge. Hii ni mihimili mitatu ambayo kila mmoja unatakiwa uheshimu maamuzi ya mwenzake na kanuni zake. Wala kuwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani kusimtie kibri Mbowe na kuona kuwa dola litaogopa kutimiza wajibu wake inapobidi.

Mama Huruma wa JF naye, hahaaa haaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom