Kukamatwa kwa Bernad wa Airport: Wachina na foreigners wote wakaguliwe vibali vyao

huyu alikuwa mwl. huko aliingiaje, ? halafu ana undugu wa damu na waziri mmoja
 
Kuna mambo yanafanyika Tanzania raia tunaoipenda nchi yetu tunatamani kulia.
Sijui mwisho wake nini, wale Al shabab wanaoisumbua Kenya wangekuwa wana bifu na sie wangekuwa washatumaliza kitambo. Tanzania yetu hii dah...!!!
 
Nimejiuliza kuhusu Pdidy huyu ndo yule? Au pengine na yeye alikuwa na kibali haramu kwa hiyo katimua mbio na kuigawa id hii?
 
Wenye maadili hatupewi, Wasio na maadili ndo hupewa, Mi binafsi ninaipenda sana kazi hiyo, Nikomeshe wahamiaji haramu, Wauza dawa za kulevya , Na wakwepa kodi, Hawa ninaamini ndo wanaotuharibia taifa. Naitafuta sana hiyo kazi japo Sijui link nitaipata.

Mkuu ukiipata Hii kazi tutakuombea usiwe Kama hao.Ila Pesa inabadilisha Imani Na UZALENDO ukiangalia umetokea wapi Na unaenda wapi.
 
Hivi hawa wanao pewa hizi nafasi nyeti ndani ya nchi yetu kweli ni Watanzania ? Mtu unakaa kabisa na passport zisizo na picha akija yeyote anapewa ,Aisee kuna haja ya kuchunguza watu kwenye sekta nyeti za serikali ,wengine mamluki hawa ,

Baada ya vyeti na wafanyakazi hewa ,ianzishwe operation ya kuwachunguza hawa watu

Mkuu taasisi ya mambo ya ndani lilikuwa shamba la Bibi Lakini toka Mkulu ashike madaraka hupati pasipoti bila ya barua ya Mwenyekiti wa kata,tarafa Na ngazi zote upitie Na huna haja ya kumjua mtu yeyeto.
Kwa kweli ujanja ujanja umetoweka.
 
Back
Top Bottom