Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Hilii n janga la siku nyingi sana sana niliwahi kuhisi litatokea sema mhusika nahisi akusoma nyakati na hii serikali
Wajanja walishaacha na wengine kukimbia kabisa ...
Mahakama ya hakim mkazi kisutu imemfikisha kijana bernad obeto kwa kushiriki kutoa vibali feki kadhaa kwa foreigners akiwa pale airporr
Bernard ambae ni afisa usalama anatuhumiwa kutoa kibali kwa Mganda Moses Mugabe wa Mikocheni no WP/0122 kikiwa na saini feki ya Kamishna wa uhamiaji.
Mshtakiwa wa pili ni Mganda Moses ambae amekuwa akifanyakazi hapa nchini miaka minne akitumia kibali feki.
Mshatikiwa mwingine ni Musa Setuba Mganda aliekutwa na kibali daraja C WP/0120 feki chenye saini ya kamishna wa uhamiaji. Musa anakiri kupokea kibali toka kwa Bernad kwa kumuuzia dola 1000+.
Again March 2016
Musa Setuba alipokea kibali kingine daraja B ..Rpb 1055576
Pia Bernard anatuhumiwa kukutwa na mihuri ya visa za miezi mitatu mitatu pia anatuhumiwa kukutwa na passport kadhaa zisizo na picha zinasobiria wateja. Pia amekutwa na mihuri ya vibali vya kazi vya miezi mitatu tatu.
Wote wamekwenda rumande baada ya DPP kuzuia dhamana zao.
Dah naona kuna kadizain cha mtajano kameanza airport. Ushauri tu ni kuwa wakague vibali vyote vya Wachina. Wachina wengi wamekuwa wakitoka nje bila vibali vyovyote wanapelekewa Karikoo ama majumbani mwao vikiwa signed wanachoacha ni pesa na picha za wahusika. Nashauri wakague vibali vyote waje huku Mikocheni ITV Wapakistan, Wapalestina kibao wana vibali feki waanze kukagua zile flats za Mikocheni pale pembeni ya Oilcom foreigners kibao wamejificha wanafanya kazi mle ndani. Wapite maviwandani wakague polisi na TAKUKURU wasiruhusu uhamiaji kuwa peke yao ni mimba.
Wakague na visa zaoo. Visa feki kibao wananchi wa nje wanaingia nazo nahisi mda wa kumbana aseme aliempa hivyo vibali ama hizo saini wana siri nzito.
Afisa wa uhamiaji nae aulizwe imekuwaje huyo atakuwa na connection kubwa na watu wa uhamiaji pia.