clemencemlai
Member
- May 3, 2010
- 24
- 2
nimezunguka maeneo mengi hapa bongo , nikakuta vijana wengi hupenda kukaa katika vikundi ambavyo si rasmi ,nahukaa hapo
pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna gharama yeyote
pengine hadi majira ya jioni,je nini manufaa ya kukaa hivyo?na kama kuna gharama yeyote