Kujuana na wanateknoahama - Jamii Forum

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Ndugu zangu

Hivi ni wangapi hapa tunajuana mitaani , mashuleni na sehemu zingine za makazi sisi kama wana teknohama ni wangapi wenu hapa tunasaidiana na kushauriana masuala mbalimbali zaidi ya kwenye jukwaa ?

Kuna kitu cha kufanya ntawaeleza ntarudi baadaye

Jioni njema
 
Kujuana au kufahamiana??kufahamiana au kujuana vipi unakozumgumzia??watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?
 
wengi Tunajuana na kufahamiana electroinically. we are e-community, e-friends wengine hapa nadhani wana mpaka ma electoronic enemy . hahahahhaa.

sioni kama kuna tatizo kwa hili . kama kuna issue inahitaji mtu au watu wakutane na kujuana uso kwa uso ni kuwekana sawa.

Digital age imeleta mapinduzi kama kuna videoo conference , tele-conference na hizi e- mail conference ni moja ya nyezo ya kurahisisha kupeana, kukosoana na kusaidiana ushauri wa mambo mbali mbali

oTherwise shy nakusburi nisikie wazo lako naweza kuhamasika.

Kujuana au kufahamiana??kufahamiana au kujuana vipi unakozumgumzia??watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?

Watu na wewe ukiwemo tuna sababu ya kutumia alias name. lakini hiyo haiwezi kuwa kikwazo.
 
Mtazamaji unafikiri sisi watu wa TEKNOHAMA hatuwezi kwenda mbali zaidi ya hii hapa kwa kushiriki shuguli mbalimbali mfano tunajiandaa siku fulani tutaenda shule za msingi kufundisha masuala ya teknohama kidogo , mwezi ujao tunatembelea vyuoni kuonana na wanafunzi na mambo mengine mengi tu kwanini tusiende zaidi ya hapa zaidi ya mazungumzo
 
Kweli kabisa ni wazo zuri binafsi nilishawai kwend kwenye shule moja ya primary niliyo jirani nayo nikawaleza nataka kujitolea kufundiaha japo intro wanafuzi wa darasa la saba na la sita hata siku za jumamosi majibu niliyoyapata ni kuwa hakuna mtaala wa wa IT kwa primary.

Lakini nakupata if u can initiate many can fully participate in implimentation.
 
Kujuana au kufahamiana??kufahamiana au kujuana vipi unakozumgumzia??watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?

yeah well said.... i paraphrase "watu wengi humu hata kuweka majina yao ya kweli hawataki itakuwa kufahamiana?" sasa kaka je hilo ww ndio jina lako "mmbebabox"... hahahhhhhh haya bwana ila ni kweli tunatakiwa tuwe na ka mtandao flani katakakotuwezesha kufikiana kirahisi... huwezi jua huko mbele ...
 
Back
Top Bottom