kujua si kosa

Unasoma vyuo vyote hivyo ama unataka udaku tu? Na unaulizia majibu ya nini?
No wonder graduates wa siku hizi mnakaa several years bila kupata ajira.
 
Unasoma vyuo vyote hivyo ama unataka udaku tu? Na unaulizia majibu ya nini?
No wonder graduates wa siku hizi mnakaa several years bila kupata ajira.

ww kuwamsomi mbonaunajibu kama unaimbamambo ya pwana kijana vp? nilikuanataka kujua kuhusu tcu lini wanaachia majibu yao
 
Naona kufikia 31/08/2012 hapatakuwepo swali lolote kuhusu TCU wala HESLB.WHY:Deadline zao wote ni 25/08/2012 ukiongeza hizo 5 mpaka 30/08/2012 nahisi zitatosha.
 
Back
Top Bottom