kujizuia

naongezea tu....

Mi nilishawahikaa miezi 8 bila kumega na nikawa niko poa tu, so how long or short inategemea na jinsi mhusika anavyoendekeza

hii si topic kabisa,a man could stay for so long bila kufanya......the same way,wanawake waliojiendekeza hawawez kulala bila hizo mambo.....
Ni km walevi,mwingine hawezi kupitisha siku bila kunywa,mwingine anaweza kukaa mwaka mmoja bila kufanya na akawa poa....
I stand to be corrected....ni mtazamo na experience.
 
bora mwanaume afanye bana, japo zote mbaya! ila some women akicheat akanogewa, anatamani hata kuvunja ndoa ya huyo kaka, tabia za kizinzi mbaya, lol!
 
me nadhani ina tegemea na mwanaume mwenyewe atakapo amua ila hakuna muda maalum anaweza kukaa ata mwaka na asipate mazalaa yeyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom