Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

- Ahsante sana ndugu yangu ndio uzuri wa JF yaani Great Thinkers ni wengi sana na so is mazumbukuku pia, si unajua kwenye msafara wa mamba mikenge huwa haikosi! ha! ha! ha! ha! ha! People huu ni mwendo wa kujivua gamba ukifanya mchezo unabaki na gamba kama kobe mpaka mwisho wa dunia! ha! ha! ha!, MUCH RESPECT PEOPLE!

- Unajua people I am humbled na the strong response, ina maana kwamba we are on the right track na kujivua gamba, wengine ni lazima tulikomboe taifa letu kutokea kwa ndani na wengine mkitokea kwa nje, nia na madhumuni ni moja tu TAIFA KWANZA!

William @ NYC, USA.

Willy !
Kidumishe chama mkuu
Wasikunyime usingizi hawa jamaa, kwanza wametoka kwenye maandamano, ha ha ha!!!
 
- Ahggrr Brother worry not, si unajua hapa ni msafara wa mamba na makenge huwa hayakosi so!, mwendo ni ule ule wa kujivua gamba kwenda kwa mbele na TAIFA FIRST!

- Ahsante Sana Mkuu Wangu!

William @ NYC, USA.
 
Mimi nipo SINGIDA VIJIJINI NAFUNDISHA, WEWE UPO NEW YORK CITY UNAZURULA KWA PESA YA WALIPA KODI UKIWA NA NDOTO ZA0 UONGOZI. Tanzania ya sasa si ileee ya chama cha baba yako na maamuzi ya NEC. Hupati kitu hapa, njoo ulime huku, kumbuka miaka inakatika, umri waongezeka majukumu nayo yajongeza. Mwenzio Riziwan mikakati inaendelea!
ha ha!
 
- Mkuu ahsante sana kwa ushauri mzito sana utazingatiwa sana, na ni sasa hivi tu nimemaliza kuongea sana na Mheshimiwa Nape, kupata ushauri zaidi, sawa sawa ndugu yangu.

- Wengine kama nilivyosema kule mwanzo tunawasoma sana sasa tunaposhindwa kuwajibu sio kwamba ushauri wenu haufai, hapana ninaamini nyinyi ni watuwazima na ni great thinkers mnaelewa sababu ya kutowajibu, lakini so far so good inaonekana wengi tupo ukurasa mmoja, karibuni sana tunaendelea kusikiliza ushauri wenu JF GREAT THINKERS!

- Well mwendo ni ule ule kujivua gamba kwa mbele sana!

William @ NYC, USA.
Mkuu, Hapo kwenye nyekundu nimecheka sana.
 
- Well wakuu wote hapo juu, tunajaribu kusikiliza ushauri muhimu wa kutusaidia ili tuweze kulisaidia taifa letu, ukiona hatukujibu maana yake nafikiri inaeleweka sana sina sababu ya kuirudia maana wote hapa si watuwazima jamani na ni Great Thinkers.

Ahsanteni sana.

William @ NYC, USA.

Kwa hiyo wewe ulisubili wajivue gamba ndo uanzishe tawi huko? kwa maana hiyo tangu siku hizo zote ulijua kuwa kuna madudu huko na ukakaa kimya na wala hukuja na hoja ya kutaka uozo huo unaouona wewe kuwa umeisha uondolewe. Tukikuita mdandia hoja tutatokesea? Ila hata hivyo ni gamba lipi walilovua? Je wamekuwa sungura wa kuwindwa sasa ili tuwakamate na tuwachome kuliko kipindi kile walivyokuwa nyoka kifutu na tulikuwa tunawakimbia tukiwaona au kuwaua kwa kuwatupia mawe au kuwapiga na fimbo na kuwatupa kichuguuni? Kwa hiyo u greater thinker wako ndo umefikia mahari hapo. Ungesema unaanzisha tawi kwa mapenzi yako ya chama cha magamba na sio kutumia hoja ya changa la macho eti 'kujivua gamba'.
 
heheheh...threads nyingine bwana! ivi unapenda ccm kwa sababu gani? embu tuambie na sisi tuzione...
 
kwanza kawavue magamba zazi w
ako john malecela na mama yako wa kambo kilango halafu ndio waje huko NY mfungue hilo tawi la familia,Yani kubwa zima huoni hata haya pamoja na ufisadi wote wa EPA mzee wako aliofanya ili JKM aingie magogoni na wewe ukapewa fadhira ya kwenda NY kwa mabadilishanoa uranium ya Dodoma,sasa hilo tawi mlifungue vizuri kwani muda sio mwingi linaweza kutumika kuwahifadhi familia yenu watakapokimbia nchi.RIP CCM
 
Kwa hiyo wewe ulisubili wajivue gamba ndo uanzishe tawi huko? kwa maana hiyo tangu siku hizo zote ulijua kuwa kuna madudu huko na ukakaa kimya na wala hukuja na hoja ya kutaka uozo huo unaouona wewe kuwa umeisha uondolewe. Tukikuita mdandia hoja tutatokesea? Ila hata hivyo ni gamba lipi walilovua? Je wamekuwa sungura wa kuwindwa sasa ili tuwakamate na tuwachome kuliko kipindi kile walivyokuwa nyoka kifutu na tulikuwa tunawakimbia tukiwaona au kuwaua kwa kuwatupia mawe au kuwapiga na fimbo na kuwatupa kichuguuni? Kwa hiyo u greater thinker wako ndo umefikia mahari hapo. Ungesema unaanzisha tawi kwa mapenzi yako ya chama cha magamba na sio kutumia hoja ya changa la macho eti 'kujivua gamba'.
With this literal diarhea, you sound deranged!!
Mkuu mku, ulichoandika hakieleweki.
 
Kwa hiyo wewe ulisubili wajivue gamba ndo uanzishe tawi huko? kwa maana hiyo tangu siku hizo zote ulijua kuwa kuna madudu huko na ukakaa kimya na wala hukuja na hoja ya kutaka uozo huo unaouona wewe kuwa umeisha uondolewe. Tukikuita mdandia hoja tutatokesea? Ila hata hivyo ni gamba lipi walilovua? Je wamekuwa sungura wa kuwindwa sasa ili tuwakamate na tuwachome kuliko kipindi kile walivyokuwa nyoka kifutu na tulikuwa tunawakimbia tukiwaona au kuwaua kwa kuwatupia mawe au kuwapiga na fimbo na kuwatupa kichuguuni? Kwa hiyo u greater thinker wako ndo umefikia mahari hapo. Ungesema unaanzisha tawi kwa mapenzi yako ya chama cha magamba na sio kutumia hoja ya changa la macho eti 'kujivua gamba'.

- Mkuu no research no right to speak, basi si unganagalia japo kidogo huko nyuma our record, I mean CCM imjivua gamba na sisi tunajivua gamba na kukisaidia kujivua gamba zaidi kwa manufaa ya taifa letu, mwendo ni mdundo huu wa kujivua vua hakuna kuangalia nyuma tutageuka mawe! ha! ha! ha!

- Heshima yako sana ndugu yangu!

William @ NYC, USA.
 
niko:
Kwa hili itakuwa ni kumuonea, William Malecela hatumii kodi ya Mtanzania New York, anaendesha maisha yake kwa kazi, na shughuli zake zinaeleweka. Yeye hakutaka kutafuna kodi za Watanzania na alikimbia nchi wakati bado baba yake akiwa ana ma vyeo kibao miaka ya 80, kwenda kwenye ubaharia, kwa hilo siku zote lazima umuheshimu. Mnyonge tumnyonge, haki yake tumpe.

kwanza kawavue magamba zazi w
ako john malecela na mama yako wa kambo kilango halafu ndio waje huko NY mfungue hilo tawi la familia,Yani kubwa zima huoni hata haya pamoja na ufisadi wote wa EPA mzee wako aliofanya ili JKM aingie magogoni na wewe ukapewa fadhira ya kwenda NY kwa mabadilishanoa uranium ya Dodoma,sasa hilo tawi mlifungue vizuri kwani muda sio mwingi linaweza kutumika kuwahifadhi familia yenu watakapokimbia nchi.RIP CCM
 
William John Malecela, baba yako ni Tingatinga wewe ni nani? wheel loader? excavator?

endeleeni kuandaa makazi ya wazazi wenu muda si mrefu watakuwa asylum seekers!! mnafikiri mtadumu na ufisadi wenu huo?? njoo ufungue tawi Chamwino,Dom.

Kwanza kuvua gamba haina maana halumi, analuma sana. Pili mnajidaganywa tu huko CCM hapendwi mtu ni siasa za matumbo tu. unapoteza muda wako, huna kazi za kufanya huko USA.:spy:
 
niko:
Kwa hili itakuwa ni kumuonea, William Malecela hatumii kodi ya Mtanzania New York, anaendesha maisha yake kwa kazi, na shughuli zake zinaeleweka. Yeye hakutaka kutafuna kodi za Watanzania na alikimbia nchi wakati bado baba yake akiwa ana ma vyeo kibao miaka ya 80, kwenda kwenye ubaharia, kwa hilo siku zote lazima umuheshimu. Mnyonge tumnyonge, haki yake tumpe.
William,
Heshma mbele mkuu,ni wazi utakumbana na vikwazo vingi kama inavyoonyesha endapo utajikita kwenye siasa.Ninakushauri utuambie kama wewe ndiye Field Marshall ES.Hilo litasaidia sana kwasababu alias hiyo inajulikana na ni maarufu sana hapa JF.Mwenzako Gender Sensitive AKA Regia Mtema hilo lilimsadia.
Kwa mfano,Field Marshall anapewa kaheshima flani na wapinzani humu JF kuliko wewe,so weka wazi halafu tuone mjadala utakavyoshift.Field Marshall alinipokea hapa JF na kuna baadhi ya issues alizozisimamia zinazomweka kwenye mtizamo wa tofauti na huu uliona hapa.
Unaweza usiupokee ushauri huu.Uamuzi ni wako.
 
- Mkuu no research no right to speak, basi si unganagalia japo kidogo huko nyuma our record, I mean CCM imjivua gamba na sisi tunajivua gamba na kukisaidia kujivua gamba zaidi kwa manufaa ya taifa letu, mwendo ni mdundo huu wa kujivua vua hakuna kuangalia nyuma tutageuka mawe! ha! ha! ha!

- Heshima yako sana ndugu yangu!

William @ NYC, USA.

Kamanda.....Usipoteze muda kujibu upupu/pumba hizo....Cha msingi endelea kupanga ufunguzi wa tawi letu NYC pamoja na mikakati ya kukisaidia chama kuendelea kujivua gamba kwa manufaa ya taifa letu.....

Usipoteze muda wako wa THAMANI kujibu utumbo huo...

Kidumu Chama tawala
 
Kutangaza kujivua magamba na kitendo cha kujivua hayo magamba ni two different issues.Hao waliopewa muda wa kujitoa wameshafanya hivyo?Pia kuna wale wanaotaka kuona wakichukuliwa hatua za kisheria,magamba huwa yanatoka kiurahisi kama ni a natural process,lakini kama mnayavua kwa nguvu,then process ni tofauti.
 
Sawa William ninyi ndo watu mliojiwahi kufaidi matunda ya nchi hii Ila ccm inaelekea ni chama cha familia riziwan, Nape, Makamba, Mwinyi,Makongoro na wengine wengi baada ya mda na wewe utaingia kwenye cc.

[FONT=Comic
SansMS]niko:
Kwa hili itakuwa ni kumuonea, William Malecela hatumii kodi ya Mtanzania New York, anaendesha maisha yake kwa kazi, na shughuli zake zinaeleweka. Yeye hakutaka kutafuna kodi za Watanzania na alikimbia nchi wakati bado baba yake akiwa ana ma vyeo kibao miaka ya 80, kwenda kwenye ubaharia, kwa hilo siku zote lazima umuheshimu. Mnyonge tumnyonge, haki yake tumpe.
[/FONT]
 
- Great Thinker na Great Thinking, ndio uzuri wa JF bado wapo, yaani Great thinkers pamoja na kwamba recently tumeingiliwa sana hapa huu uwanja, sivyo kama ilivyokuwa zamani!

- Thaanks Great Thinker, UBARIKIWE SANA!

William @ NYC, USA
Hujajua kuwa kuna mawazo mapya na fikira mpya?ulidhani bado ni zama za wazee wako za zidumu fikira za Marekani?
 
Sawa William ninyi ndo watu mliojiwahi kufaidi matunda ya nchi hii Ila ccm inaelekea ni chama cha familia riziwan, Nape, Makamba, Mwinyi,Makongoro na wengine wengi baada ya mda na wewe utaingia kwenye cc.

What about this......Jawaharlal Nehru-Indira Gandhi-Rajiv Gandhi-Sonia Gandhi-Rahul Gandhi(Congress-India)
George H.W Bush-George W Bush-Jeb Bush(Republican US)

Mifano ni mingi sana aisee
 
- Mkuu ahsante sana kwa ushauri mzito sana utazingatiwa sana, na ni sasa hivi tu nimemaliza kuongea sana na Mheshimiwa Nape, kupata ushauri zaidi, sawa sawa ndugu yangu.

- Wengine kama nilivyosema kule mwanzo tunawasoma sana sasa tunaposhindwa kuwajibu sio kwamba ushauri wenu haufai, hapana ninaamini nyinyi ni watuwazima na ni great thinkers mnaelewa sababu ya kutowajibu, lakini so far so good inaonekana wengi tupo ukurasa mmoja, karibuni sana tunaendelea kusikiliza ushauri wenu JF GREAT THINKERS!

- Well mwendo ni ule ule kujivua gamba kwa mbele sana!

William @ NYC, USA.

Umeonngea na Nape kuhusu nini?GREAT THINKER anauwezo wa kunusa mchezo unaoucheza,umeona mzee yupo kwenye list unaongea na Nape amnusuru?Halafu wewe unazuga kufungua tawi la magamba?weka wazi ulianza kukerwa lini na ufisadi wa mzee wako.

Bila kuweka wazi mambo haya hatutakuelewa tutaona unatuzuga na kwamba unajaribu kutoa rushwa ya ushawishi kwa nape kumnusuru dingi.

Upande mwingine binafsi umeniacha na mashaka kuhusu mazungumzo yako na Nape labda kakuhakikishia kuwa hii kujivua gamba ni sanaa,maana ugonjwa upo kwenye damu kwa maana hiyo mzee wako(gamba sugu)na hivyo kukupa spid na wewe ya kufungua tawi la magamba.
Tuweke wazi kama baadhi ya wachangiaji walivyouliza ulikuwa wapi muda wote?
HADI TINGATINGA LILIPOTAJWA NDO UNAIBUKA NA BLAH BLAH ZA KUFUNGUA TAWI NYC.

KWAKUWA UMELELEWA KIMAGAMBA MAGAMBA NA UMESHIRKI KULA HARAMU KTK MALEZI YA KIFISADI
,AMA KWA KUJUA AU KUTOJUA TUNAKUOMBA UTUBU NA USEME UNACHUKIA UFISADI
ULIOKULEA NA SASA WW UMEZALIWA UPYA NA UKO TAYARI KUTOA USHIKIANO KWA MZEE WAKO KUCHUKULIWA HATUA
,NATUTAKUELEWA.

ASANTE.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom