Kujiuzuru si suluhu ya kila tatizo

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Dr Mwakyembe amesema kuwa kujiuzuru si suluhu ya kila kitu,ameyasema hayo akiwa zanzibar,
Kauli yake hii inahusiana kabisa na tukio la ajali ya Meli huko Visiwani,,,,
Sosi:Nipashe
Najiuliza hivi Mwakyembe aliposhauri wana-richmond wajiuzuru alidhan ni Suluhu????
Lakini pia waziri wa Mawasiliano wa zanzibar naye amaesema hana sababu ya kujizuru,,,,,bado ameendelea kusisitiza kuwa Ajali ya Meli imesababishwa na DHORUBA(ZANZIBAR LEO)
 
Back
Top Bottom