Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiuzulu na Kustaafu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by genekai, Feb 10, 2010.

 1. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Nimesoma gazeti moja la leo na ilikuwepo picha ya Mh Pinda na Lowassa na Chenge. Gazeti limeandka "WAZIRI MKUU PINDA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA........." swali ni je lowassa ni mstaafu au aliyejiuzuru baada ya kutowajibika? Me nadhani waandishi wengi wa habari ni MAKANJANJA TU hawajui matumizi ya maneno. Kama alistaafu manake anaendelea kupata mafao yake na ulinzi kama mstaafu na kama alijiuzuru nadhani kisheria anatazamwa tofauti. Au pengine wenzetu wanajua kuwa anapata mafao kama kawa. Me mwanzenu kila nkiona mafisadi nawaombea njaa tu na kwanini WASINYONGWE? Kazi ipo![​IMG]
   
Loading...