Kujiuza

From my understanding,ni kwamba kujiuza ni kutoa mwiliwako ili upewe pesa,ni tofauti na yule alie kwenye mahusiano ambae yeye ni sawa anapewa hela lakini sio kwa sababu ya mwili wake,unaweza kupewa hela na yoyote ila ile hela unapewa kwaajili ya nini ndo suala la msingi!
 
hii definition naikataa sababu imeanza na female, kwani hakuna wanamme gold diggers?

Mostly woman mkuu ndio maana hata sheria za kuchafua mazingira kwa kukojoa inawabana wanaume na sio wanawake japo pia kuna wanawake wanafanya vitendo hivyo.
 
Tunatakiwa tutofautishe hapa,kwanza mfumo wa maisha na maumbile umewafanya wadada kuwa tegemezi,hivyo kuomba msaada kwa rafiki yake,mpenzi wake au yoyote isiingizwe kwenye mjadala huu,kujiuza kuko kwa jinsia zote,wapo wanaume kazi yao kujipodoa na kujipitisha mbele ya wanawake wenye hela ili wauze sura,huku ni kujiuza,hata wale kaka poa wanapokaa barabarani kutafuta watu wawape hela in return kwa kuingiliwa,huku ni kujiuza,na wale dada poa nao ni hivyohivyo,so mwanamke anapokuwa na mpenzi wake halafu akawa anahudumiwa nae huyu hajiuzi!
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.
 
Anajiuza kwa lengo la kukata kiu ya mwanaume na mwanamke kujiongozea kipato au mwanaume anakata kiu?
 
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.

1. Mwanamke anaweza kuwa na kazi au shughuli yeyote ya kumuingizia kipato kizuri tu.

2. Mwanaume anayemwachisha mwanamke kazi na kumfanya mama wa nyumbani kunakopelekea mama huyu kumtegemea mwenzie kwa kila kitu.

Inawezekana katika scenario zote 2 mpenzi tegemezi akapoteza mapenzi, je itakuwa kujiuza pia.

3. Kuna watu ambao hata kama wana pesa lazima wahongwe kupandisha stimu za mapenzi. Nao wanajiuza?
 
Mara nyingi tunasikia na kuona watu wakinyooshewa vidole kua "wanajiuza tu hao" au "anajiuza tu huyo".

Sasa nimejikuta najiuliza Je kujiuza kunaanzia wapi na kuishia wapi? Ni mpaka mtu atilie pamba matata na kusimama barabarani huku akisubiria atakaevutiwa nae atokee? Ni mpaka mtu awe na buzi ambalo linamuweka mjini? Vipi anaeoa/olewa kabisa kwasababu ya pesa na sio mapenzi. . . huyu nae anajiuza?

:A S-coffee:...interesting, halafu huwezi jiuza kama huna thamani...dahh!?
 
atakuwa anajiuza endapo tu, ameingia katika ndoa sababu ya faida tofauti na mapenzi ya kweli

kama anampenda kiukweli then hajiuzi.
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.
 
woote wanajiuza, mwanamke/mume ktk ndoa asiye na kazi ya kumuingizia kipato chochote anayeishi kwa kumtegemea mwenzie kwa kila jambo atakuwa anajiuza utofauti wake na changudoa ni kuwa 1 ana mteja mmoja wa kudumu na changudoa anao wengi wa muda mfupi-mfupi.

Utakua una matatizo kwenye IQ wewe!
 
Kujiuza au prostitution or sex trade.....ni kutoa ngono(sex) kwa ajili ya kupata pesa tu....Hapa hamna suala la mapenzi au kupendana...ni kutoa pesa na kupata ngono basi. Anaetoa ngono huitwa prostitute(malaya) na lengo lake ni kupata pesa tu.Kujiuza(prostitution)ni kazi kama kazi nyingine yoyote duniani na hii ndio oldest profession on earth(ndio kazi kongwe kuliko zote duniani).Kitendea kazi chao hawa ni mwili wao..Kule ulaya kuna baadhi ya nchi kama Holland ambapo wamehalalisha kujiuza(umalaya)na kuna mitaa kabisa watu huenda kununua ngono kule...hata hapa tz kuna mitaa ambapo mtu huweza kujinunulia ngono(mfano kinondoni-makaburini au pale jollys club).Hapa tz kujiuza si halali ndio sababu polisi huwashika hawa madada poa.Ununuzi wa ngono unaweza kufanyika openly..mfano ktk mitaa/barabara au closed.....mfano kwenye madanguro.......Suala la malipo ya ngono linategemea makubaliano kati ya mteja(mtombaji)au muuzaji(malaya)....lakini mara nyingi malipo ni fedha....Nyumba ndogo hawauzi ngono na mara nyingi suala hili hutofautiana na kujiuza kwa vile kuna suala la mapenzi (love)hapa.....Kujiuza ni kazi haswa(watu wanalala mchana na usiku wako kazini).....kuna wakati nyumba ndogo huweza hata kuvunja ndoa za watu lakini ni nadra saaana ukasikia malaya anaejiuza amevunja ndoa fulani....hawa lengo lao la kufanya ngono ni pesa tu......no love.....tena ukiwaletea maswala ya mapenzi wao huona unawapotezea muda wao wa kutengeneza pesa......maswala ya kuibiana wake/gf za watu si kujiuza(prostitution)bali ni zaidi ya hapa kwani huusisha makubaliano/mahusiano ya mda mrefu na hata love/feelings.......pia kujiuza kunaweza kufanyika manyumbani(ili kuepuka aibu ya jamii)....kule tanga hata zenj kuna sehemu unaweza kununua ngono manyumbani(nimeona hili)....pia (kwa makubaliano) unaweza kumwokota malaya barabari ukaenda kumtombea nyumbani(kwa wale bachelors).......tofauti kubwa ya kujiuza na other forms za sex ni kuwa hakuna kutongoza kwenye kujiuza....una hela unatomba ...huna hela hupati kitu...hamna cha oh sijui kesho...etc etc
 
either way mie naona hawa wanaojiuza ni wa kweli...they let u know kuwa utamu unaupata kwa pesa fulani. its a business no broken hearst wala longolongo nyingi
 
mafuta ya taa, nguo,chakula,kodi ya nyumba,pesa matumizi madogo madogo, MAMBO YA SMALL HOUSE sawa na kujiuzatu
 
Back
Top Bottom