Kujitoa kwenye sms za simba kutoka 15556

chororingo

Senior Member
Jan 15, 2008
104
92
Jamani naombeni msaada. nataka kujitoa kwenye SMS kutoka SIMBA SPORT CLUB kutoka namba 15556. Naona sasa wanafanya mchezo kwani wananitumia SMS fupi fupi ambazo zinaweza kuwa moja. Naona kama wananiibia. NISAIDIENI JAMANI.
 
Back
Top Bottom