Kujitabulisha

DUBE

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
251
237
Wana JAMII FORUM wote hope wazima kabisa nachukua nafansi hii kujitambulisha kwenu,mara ya kwanza kabisa ktk mtandao huo,kwanza najiskia furaha sana kuwa member mwezenu nilikuwa nikisoma nakupata habari za hapo nyumbani Tanzania,Hasa hasa za siasa,nipo mbali na nyumbani lakin kupitia mtandao huu najisikia kama nipo Tanzania,ni hayo tu nashukuru sana na AHSANTEN
 
Karibu sana Jf. Jisikie upo nyumbani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom