kujisifu muhimu

Hongera kaka, Mungu akuongoze uendelee hivyo hivyo katika maisha yenu yote ya ndoa. Hakuna linaloshindikana chini ya jua, ni suala la uamuzi tu.
 
Watu kama wewe Mike wakitoka nje wanatoka jumla. Pia wakifumania wanaua. How I hate 'perfect' men!
 
Watu kama wewe Mike wakitoka nje wanatoka jumla. Pia wakifumania wanaua. How I hate 'perfect' men!
ya kweli hayo,ninachojua ukiamua kutoka ni wewe mwenyewe umeamua ukiamua huendi ni wewe mwenyewe,
 
But all in all nashukuru wote waliochangia na kunipa moyo na kuniondolea dhana iliyo jengeka ktk jamii yetu, mwanaume aliyekamilika lazima awe ana nyumba ndogo,kwa msemo huo naupinga kwa vitendo,kwa wale wenyewasiwasi na wife,mimi nasema kama kweli ni mke wa ujana wangu na anaheshimu misingi ya ndoa hawezi kufanya hivyo,namwamini na nitaendelea kumwamini siku zote
 
Mwombe Mungu akutie nguvu kwani kipindi ulichoingia ndio kibaya sana wanasema wachunguzi wa mambo ya ndoa. miaka 10-20 huwa ina misukosuko sana. unaweza wewe ukawa na msimamo mwenzako akakuangusha pia. Omba bila kuchoka hakuna kinachoshindikana katika dunia hii
 
Umenikumbusha siku ya Easter kuna watu walikuwa wanafanya anniversary ya miaka 35 kwenye ndoa nikasema duh, Mungu nisaidie tufike huko
 
Back
Top Bottom