kujisifu muhimu

Mike 1234

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
1,633
154
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
 
Kila kitu kinawezekana CONGRATS
 
Hongera
endelea kuomba Mungu azidi kukuepusha na vishawishi.
mfikishe miaka 50 ya ndoa bila kuchakachua.
 
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili
Hongera ndugu!duh si kidogo naomba na shem nae awe hivyo usije chakachuliwa!
 
Napenda kuchukua fursa hii kujisifu,kwa sababu huu ni mwaka wa 11 ndani ya ndoa bila kutoka nje ya ndoa yaani kuwa na mahusiyano na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu,je ni wanaume wangapi wameliweza hilo? marafiki zangu wengi wameshindwa,je wewe!jichunguze chukua hatua,naomba mnisifu kwa hili

Hongera mkuu!

Vipi umecheki na wife ili kujiridhisha na yeye hajachakachua?
 
Hongera sana Mike wewe nikuendelea kumwomba Mungu vishawishi vikuepuke. Mkeo nae hajatoka nje ya ndoa? Naona umejifagilia peke yako tu...
 
Hongera Mkuu ila nakushauri utilie maanani angalizo la Mheshimiwa Aspirin hapo juu.Dunia ni ya ajabu sana na ndo maana wahenga walisema 'penye miti hapana wajenzi' na 'mkataa pema pabaya pamwita' isije ikawa methali hizi mbili zikamuhusu my wife wako.Siku njema.
 
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende
 
Check RED. Una uhakika kuwa ukisafiri watu hawafanyi replacement? Maan dunia ya siku hizi........., toa gambe weka gambe...!
 
Well done and keep it up!
Mwenyezi aendelee kukulindeni nyote wawili!
 
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende
bonge la mwanaume mko wachache sana katika sayari hii!
 
Hongera mkuu!

Vipi umecheki na wife ili kujiridhisha na yeye hajachakachua?

wewe nawe anazungumzia nafc yake, umeona mahali amesema "hatujatoka"...hebu huko...hongera sana kaka yangu kweli wewe mfano wa kuigwa 11 yrs sio mchezo wengine miaka 6yrs tulichomwa mioyo...hongera sana...Asprin cjui ndio alitoka akiwa na miezi 3...khaaa haya maisha bwana.
 
kwa kweli kwa upande wa mke wangu sijuii,maana nikisafiri tunaongea mda wote na nikirudi sioni kama kua madiliko lolote,na mwamini kama ninavyo jiamini,sijui sisi ni binadamu ila kwakuwa sijawahi kumtenda basi naomba na mimim asinitende

na kaka haya unayosoma kuhusu wife yasome na kuyaacha humu humu wala yackutie wac wac labda labda inawezekana, labda nafanya...ondoa hofu kabisa na Mungu akuongezee miaka 60 mbele ya kuwa mwaminifu kwa mkeo...japo kumcal na kuongea muda wote haimaanishi kama ni mtokaji atashindwa kutoka muhimu hapa ni hapo mlipofikia bila kuona dosari na Mungu ailinde ndoa yenu, hii ni kati ya ndoa chache ninayoweza kusema mbali na matatizo mengine madogo madogo inaishi kwa amani/upendo...cheating ni ki2 kibaya sana binadamu hawakitambui.....
 
Back
Top Bottom