Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Apa amna ubishi. Hao masupastaa wanaojifanya wanajua kujirembua apa mjini hawawezi kukaribia hii dizaini!

Kumbe huyu ndiye mwizi wa saa yangu ya disco? Enzi hizo saa kama hiyo nimpaka uende Kenya bongo haipatikani.Apa amna ubishi. Hao masupastaa wanaojifanya wanajua kujirembua apa mjini hawawezi kukaribia hii dizaini!
Apa amna ubishi. Hao masupastaa wanaojifanya wanajua kujirembua apa mjini hawawezi kukaribia hii dizaini!
Huyu lazima ni mgonjwa wa akili
Alikuwa mhandisi kabla hajapata ugonjwa wa akili.