Born Star
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 365
- 256
Nina elimu ndogo ya darasa la saba lakini nataka kujiendeleza kitu kinachonitatiza ni muda siku nzima nakuwa kazini. Sasa nataka niwe najisomea usiku ili nifanye qt sasa naomba ushauri ninunue vitabu gani au online books mtandao gani vipo ambavyo vitanisaidia na je inawezekana kama nikifaulu qt kuendelea kusomea nyumbani ili kufanya mtihani wa form 4 msaada wenu ndio mwanga kwangu pleas help me