Kujichubua kwa dada zetu (kuwa mweupe)

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
966
66
IMG_1946.jpg

Ukiangalia mikono na uso utajua kuwa huyu bibie anataka kuwa mwarabu zaidi kuliko mwafrika!Jamani kwa nini mabibie wetu wasiwe proud na rangi zao,kuliko kujichubua na kuwa na light skin?
 
Njomba Mmakonde,
Alikukataa nini akamfuata huyu naniliu!, mbona unamsakama mwana wa mwenzio akiwa katika ndoa mbiiichi bado!..Unataka atemwe nini mzee uchukue?

Anyway, tabia hii ya dada zetu imekuwa ndo fashen kwa sasa..!Lakini nasi wanaume tujiangalie, iam afraid that we men prefer the ladies with that artificial color!

Lakini, in a nutshell, they are killing themselves slowly!
 
Hii tabia inatokana na wanaume wenyewe tumezidi kupenda wasichana weupe. Kwa hiyo nao wanajibadili ili kuwavutia zaidi wanaume.
 
Hii tabia inatokana na wanaume wenyewe tumezidi kupenda wasichana weupe. Kwa hiyo nao wanajibadili ili kuwavutia zaidi wanaume.

Mkuu Katavi uko right kabisa, wanaume wengi mwanamke mweupe ana thamani zaidi ya mweusi, na utasikia jamaa anajitamba eti kama color demu kajaliwa mweupee, sasa hapo wakisikia wenzetu wanaona OK kumbe weupe ndo dili hahah na wao wanautafuta madukani
 
kutokujikubali tu na umaskini wa fikira!!! (ila na wanaume nao wamo....Ben Kinyaiya)
 
IMG_1946.jpg

Ukiangalia mikono na uso utajua kuwa huyu bibie anataka kuwa mwarabu zaidi kuliko mwafrika!Jamani kwa nini mabibie wetu wasiwe proud na rangi zao,kuliko kujichubua na kuwa na light skin?
Lakini si mnaona jinsi jamaa anavyomfurahia na kumwangalia bibie kwa macho ya mahaba????????.
 
Mimi naona kama hiyo mikono imesheheni hina kiasi cha kuifanya ionekane myeusi. Bwana harusi mbona kama hana uhakika vile?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom