SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia kwa watu..Sintofahamu katika hili ni je MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME NI KUJIAMINI au KUCHIZIKA?