KUJENGA tumeshindwa,ni muda wa KUBOMOA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Miaka hamsini imepita.Uchumi hovyo,siasa safi hakuna,uongozi bomu,malazi duni,amani ya maigizo na kadhalika. Kwakifupi,tumeshindwa kujenga Taifa letu.Yawezekana tunashindwa kufuata ramani iliyochorwa na Nyerere. Wakati umefika wa kubomoa kwanza na kuchora tena ramani kabla ya kujenga tena. Au wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom