Kujenga ghorofa tumboni!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
vijana wengi wa kibongo wanatanua sana,wanakunywa bia na kukuza vitambi tu,huku wakisahau kuwa wnajenga ghorofa tumboni basdala ya kununua viwanja na kujenga,mtajiju baadaye masharobaro nyie!
 
Priority zinatofautiana
Mradi anatumia kipato chake halali kwa uhalali.

Heshima bar, kulala kokote.
Mwili haujengwi kwa tofali wala haulindwi na mmasai.
 
ponda mali kufa kwaja! husipokufa?
 
kula bia wewe wacha maneno mengi, kujenga sio kipaumbele panga nyumba tumia bar, naomba heineken baridiiiiiii
 
vijana wengi wa kibongo wanatanua sana,wanakunywa bia na kukuza vitambi tu,huku wakisahau kuwa wnajenga ghorofa tumboni basdala ya kununua viwanja na kujenga,mtajiju baadaye masharobaro nyie!

ivi kumbe masharobaro ndo wanywa bia na wenye vitambi!
 
vijana wengi wa kibongo wanatanua sana,wanakunywa bia na kukuza vitambi tu,huku wakisahau kuwa wnajenga ghorofa tumboni basdala ya kununua viwanja na kujenga,mtajiju baadaye masharobaro nyie!

acha ushamba wewe!!!hayo wafunze watoto wako!!!unataka kila mtu akijenga viwanja viishe?!!!badala ya kusisitiza matajiri wajenge apartments!!!!
 
Back
Top Bottom