Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 202
Mambo gani haya? kwani huyo Mh hawezi tu kusema anataka private time na mkewe chumbani? au si wanaweza tu kuamua kushare chumba cha kulala..? na wakilala usiku kinachoendelea huko chumbani si business yao wenyewe? au ndio wanalala na walinzi chumba kimoja???
kama ni kweli basi hakuna maana yoyote ya kuwa raisi...wangewapa uhuru tu wa kuishi maisha ya kawaida ya ndoa huko kwenye "private wing"...mahitaji ya tendo ya ndoa kwa wanandoa ni muhimu kama chakula na maji, tena kama hawajui raisi anayetoshelezwa kwa hilo kikamilifu bila kuwa guilty anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kuliko yule anayebaniwa baniwa.