Kujambisha

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Juzi nilikuwa nakatiza mitaani nikakuta kijana mmoja amefungwa na kamba miguu na mikono kama mwizi halafu amelazwa juani, nikauliza kulikoni nikaambiwa alimjambisha mzee mmoja ambaye alikuwepo pale kuhakikisha kuwa jamaa hafunguliwi kamba.

Yule mzee alikuwa analalamika kuwa wanamkera sana na kumuumiza wanapomjambisha sasa leo anatoa somo kwa wote

Mimi nikabaki najiuliza anapata maumivu gani anapojambishwa?:confused2: hebu wadau tulijadiri hili suala labda lina matatizo kitaalamu kwa baadhi ya watu
 
Duh! Kujambisha ni kati ya mambo ya Pwani...
Si wajua ukimjambisha mtu ana-react kama vile umem-finger katikati ya nyuma vile? (anavyoruka?)
Yadaiwa eti hao wenye midadi ya kujambishwa wanajisikia 'kitu fulani' eneo hilo...
 
Juzi nilikuwa nakatiza mitaani nikakuta kijana mmoja amefungwa na kamba miguu na mikono kama mwizi halafu amelazwa juani, nikauliza kulikoni nikaambiwa alimjambisha mzee mmoja ambaye alikuwepo pale kuhakikisha kuwa jamaa hafunguliwi kamba.

Yule mzee alikuwa analalamika kuwa wanamkera sana na kumuumiza wanapomjambisha sasa leo anatoa somo kwa wote

Mimi nikabaki najiuliza anapata maumivu gani anapojambishwa?:confused2: hebu wadau tulijadiri hili suala labda lina matatizo kitaalamu kwa baadhi ya watu

Mimi nakumbuka tulikuwa tukiwajambisha wale wazee wenye mabusha. Nasikia eti ukiwajambisha lile busha linatekenyeka. Sasa sijui kama ni kweli au vipi. Labda wazee wenye mabusha waje watueleze kiunagaubaga kile ambacho hutokea pindi wajambishwapo.
 
Mimi nimewahi kuona mzungu ana busha ,tanga...
Na akijambishwa anaruka..........
 
Unatakiwa uchunguzi wa kina katika hili, ila huwa nahisi kuna maumivu wanapata kutokana na kujambishwa..
 
lakini yule mzee hakuwa na busha ila nasikia akijambishwa uwa mpaka miguu inapoteza nguvu anakaa chini kabisa sijui ni nini haswa uwa kinamsibu
 
hapa kitaani kwetu mzee mmoja aliamua kuikodi taxi kumfukuzia jamaa mmoja ambae alimjambisha na baadae kukimbia na gari yake mzee alimmaindi akamfuatilia mpaka akamkamata na akazaa nae........
ila jamani ni kwanini waislamu tu ndo wana haya madudu
 
Tafadhali sana naomba UTUTAKE RADHI WAISLAMU WOOOTE HAPA JAMVINI....pia naomba uwatake radhi wakristo wooote ambao nao wakijambishwa wanajiskia khali fulani...maana hata kama ni tiba inatolewa utakuwa UMEWABAGUA NA KUWANYANYAPAA wakristo wenye hisia za kujambishwa....

Kujambisha na mtu kujiskia hali fulani mwilini ni aina ya mdadi unaomtokea mtu...kila mtu anakuwa nahisia tofauti/ulemavu wa kihisia...ndio maana wengine wanakuwa na mdadi kwenye ngumi kiasi kwamba wanaweza kumpiga mtu au jirani yake wakati wa pambano la ndondi...au hata kwenye miguu kiasi kwamba hupiga mateke watu waliokaa naye karibu uwanjani kuangalia soccer...

MTUHUMIWA NAOMBA UTUTAKE RADHI WAISLAMU HAPAHAPA JAMVINI MZEIYAAA
 
hapa kitaani kwetu mzee mmoja aliamua kuikodi taxi kumfukuzia jamaa mmoja ambae alimjambisha na baadae kukimbia na gari yake mzee alimmaindi akamfuatilia mpaka akamkamata na akazaa nae........
ila jamani ni kwanini waislamu tu ndo wana haya madudu

Mhh, una uhakika gani kuwa ni waislamu tu? acha ku generalise mambo.Bora ungesema watu wa Pwani labda.
 
hapa kitaani kwetu mzee mmoja aliamua kuikodi taxi kumfukuzia jamaa mmoja ambae alimjambisha na baadae kukimbia na gari yake mzee alimmaindi akamfuatilia mpaka akamkamata na akazaa nae........
ila jamani ni kwanini waislamu tu ndo wana haya madudu
acha udini wewe
 
Kushaharibika hapa.........Hali ya hewa ishachafuka.....Udini unachukua nafasi yake sasa
 
Lakini mlisikia kuwa yale majambazi juzi kati walifyatua risasi na kuua watu wawili baada ya kujambishwa?
 
MNH...kwani FD huyo mzee alikuwa mkristo au muislam??? :rolleyez:
mi siwezi jua kama ni wa dini gani maana nilikuwa napita njia na pia watanzania hatubaguani kwa dini na wala huwezi kujua mtu dini yake kwa kumuangalia. Tuache mambo ya udini humu naomba tuendelee na topiki yetu ya kujambisha. TZ ni moja dhana ya ubaguzi ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom