Kujamba marufuku Malawi! - Sheria Kutungwa

Mpwa kuna haja ya kuwa unatembea na gunzi in case hali imekuwa mbaya!
mpwa hii sheria huyo aloiweka mwenyewe mpe wiki tu ataivunja. jiografia yangu inaniambia maeneo ya malawi wana afya mbovu sana kwenye masuala haya ya biological pollution
 
About time somebody invented shuzi-detector, maana kwenye watu wengi Polisi hawawezi kujua nani kajamba ile wakamfunge. Na huko makanisani itabidi Polisi watume makachero kwenye kila misa maana ni balaa...bwahaaahaaa!!
 
Si Mkwere pekee yake.
Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.
LOL! Hii kali sana!
 
Cow milk fart.gif
Fire fighter kama huyu akienda Malawi hatoki.
 
Hili mimi sishangai,iwapo MP's wetu walitunga sheria ya kuwa ni kosa la jinai kukonyeza!! hivi unawezaje kuthibitisha hilo? ni ufinyu wa kufikiri walio nao wawakilishi wetu ambao husahau wajibu wao na wengi kutofahamu kabisa nini wanachopaswa kufanya,eti mbunge anaenda kuuliza bungeni kwa nini njiwa anataga yai moja au kuna wabunge wangapi mke na mume bungeni inamsaidia nini yeye na wapiga kura wake?
 
Unategemea nini toka kwa John Komba, Yule Mganga wa Kienyeji Prof Majimafupi, Vicky K, Sophia S?
 
Si Mkwere pekee yake.
Rostam Aziz ni mjambaji mzuri hasa akila wali wa dengu.Yeye hujamba popote hata mbele za wakweze.
Lowassa naye ni mzuri wa kujamba kwa silencer, hata kama ni katikati ya ibada yeye haimpi shida
Mzee wa Vijisenti akipata nyama choma ya Kisukuma anajamba hadharani huku akicheka.
Ngeleja yeye haoni aibu kujamba mbele za mademu baa.Mashuzi yake mtu anazimia
Mama meghji anajiheshimu kidogo lakini akijamba ni wote kutawanyika harufu haivumiliki.
Mramba na Mkapa waliwahi kushindana kuzima moto kwa kujamba waamuzi wakasema wote wametoka draw.

Hii sheria ikija hapa kwetu itawapa shida sana hawa waheshimiwa.

Kucheka ni dawa. asante mkuu kwa utani.
 
Makinda lile joho lake litamsidia sheria isimpitie akijamba harufu inaishia ndani kwa ndani ila tatizo wakati wa kutoka yule mbeba rungu lazima ataipata akiguna tu tayari imekula kwake.
 
Sheria inakataza uchafuzi wa hewa kwa maana ya Air pollution. Wala haikuwa kwa ajili ya kuzuia kujamba. Ila kuna mwanasheria mmoja ambaye yeye ametafsiri kuwa air pollution ni pamoja na kujamba (tatizo la tafsiri) na story zimetoka kutokana na tafsiri yake huyo bwana.

Otherwise, such a law can not be enforced kutokana na ugumu wa kujua "source of pollution" kutakapokuwa na mtu zaidi ya mmoja, na jinsi ya kutunza ushahidi.
Umenifurahisha sana kwenye kutunza ushahidi (evidence) ukizingatia kuna wengine wabishi kama watani zangu wa Kigoma.
 
Hii sheria itatumika hata kama mtu uko usingizini! Shule za bweni hasa zile tulizokula dona na maharage itakuwaje during the night??????:coffee:
 
jamani mpaka wameamulia hivi ujue limekuwa janga la kitaifa tusipuuze tu tujaribu kuwafatilia hawa watu uenda wanajamba sana hadharani kiasi kwamba imekuwa kero kuliko watu wanaovuta sigara hadharani
 
Back
Top Bottom